Wakati wa bwana yule, mlikua mnaimba mapambio kusifu kila kitu. Sio ajabu hata sasa unafanya jambo lilelile.

Tunae rais dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe!
Rais hatoisaini sheria hiyo hata ikipitishwa bungeni.

Cheza na yeyote usicheze na mama. Hakuchaguliwa na mtu mama, ni chaguo la Mungu.

Mwenyezi Mungu hafanyi makosa.

Hiyo ni michezo ya sukuma gang ikiratibiwa na Kassim Majaliwa Majaliwa.
 
Hapa hao TISS wenye visasi na raia wataitumia hiyo sheria ya kihuni kutumaliza, hii nchi ina watunga sheria wapumbavu sana, hatma yetu iko mikononi mwa Mungu pekee.
 
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
Raia mwema au ujinga na uoga wa kipumbavu, tunduma border haipitiki wazambia kama 200 wanafanya push back kupigania haki zao, wapumbavu always wanakimbilia humu kulalama
 
Unamaanisha ulichokiandika?
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
 
Tuwaunge mkono TISS ili waweze kutekeleza operation zao vizuri, hiyo haina madhara kwa raia mwema anaefuata sheria za nchi na sheria hiyo wanaitumia Rwanda, Burundi, Zimbabwe, na Uganda hivo haina shida
Nchi zote ulizozitaja ndizo zinaongoza kwa mauaji ya raia yenye utata, kupotea kwa watu kwenye utata na mambo kama hayo. Ndizo zinaongoza kwa UDIKITEITA AFRIKA kama siyo duniani
 
Umeeleza vizuri sana kwa undani na inaonekana kama ulivyosema umekuwa muathirika wa matukio ya TISS naamini unayajua vizuri madhara ya kupitisha sheria hii
 
Sio kulindana hiyo sheria inalinda maslahi ya nchi
The inner strength of this law willbe used against themselves.(viongozi)

Nami natazama nikaona There shall be cries and gnashing of teeth.

And no body will stand in between to help. Acha waipiteshe muda utaongea. Tutarudi kufukua nyuzi humu endapo JF itaendelea ku survive hata mwisho maana wakimchukua Maxence Melo ili aminye uhuru humu kwa kisingizio cha maslahi ya taifa hakuna atakaye salia salama
 
Comment ya kizalendo kupita maelezo.
 
Waliouchomekea muswada huo watakuwa ni Sukuma gang.

Kassim Majaliwa Majaliwa ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Mama Samia ajichunge sana na huyo mtu.
Acha kukwepesha lawama ww ,anachomekeaje wakati Kuna waziri mwenye dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…