Aiseeeeeeee..Rais hatoisaini sheria hiyo hata ikipitishwa bungeni.
Cheza na yeyote usicheze na mama. Hakuchaguliwa na mtu mama, ni chaguo la Mungu.
Mwenyezi Mungu hafanyi makosa.
Hiyo ni michezo ya sukuma gang ikiratibiwa na Kassim Majaliwa Majaliwa.
Acha kumsagia kunguni huyo mwl Kassim, hana uhatari wowote ule.Waliouchomekea muswada huo watakuwa ni Sukuma gang.
Kassim Majaliwa Majaliwa ni mtu hatari sana kwenye nchi hii. Mama Samia ajichunge sana na huyo mtu.
Huyo tushamstukia. Nyoka.Acha kumsagia kunguni huyo mwl Kassim, hana uhatari wowote ule.
Sasa hivi ni kuwa makini na unachopostThe inner strength of this law willbe used against themselves.(viongozi)
Nami natazama nikaona There shall be cries and gnashing of teeth.
And no body will stand in between to help. Acha waipiteshe muda utaongea. Tutarudi kufukua nyuzi humu endapo JF itaendelea ku survive hata mwisho maana wakimchukua Maxence Melo ili aminye uhutu humu kwa kisingizio cha maslahi ya taifa hakuna atakaye salia salama
Huamini kwenye maridhiano?Hii nchi inahitaji kuachana na mambo ya sisa na kutafuta njia nyingine ya kutoka hapa tulipo
Haitaishia hapo, hata mkikutana bar mkagombana anaweza kukudhuru na kusema alikua anatekeleza majukumu yake. Kuna mambo binafsi yataingia sana kwa kichaka cha kutekeleza majukumuMaana yake wataweza mteka mfanyakazi wa JF na kulazimisha kupata watu wanaowataka.
Hapo mbona itasababisha na wao waanze kuwindwa?
KAMA MTU ANATUNGA SHERIA KAMA HIYO, HAKUNA HAJA YA MARIDHIANOHuamini kwenye maridhiano?
Hao mafisadi wengi ndio referees huko. Pia Hakuna haja ya kumvizia fisadi na kumalizana nae gizani maana utasingizia hata wasiohusika.Usarama wa taifa kupewa uwezo huo si hatari kwa wanainchi wa kawaida Bari mafisadi"
Na Kama mnavyo jua majizi nimajitu yenye mapesa mengi kiasi kwamba Yana mzidi nguvu mpaka raisi kwenye maamzi ya Kima endeleo.....
Bahati mbaya pia wapo polisi ambao pia ni watu wa usalama, hivyo hata ukijichanganya kwa polisi ambao ni usalama umeisha.Hapa hao TISS wenye visasi na raia wataitumia hiyo sheria ya kihuni kutumaliza, hii nchi ina watunga sheria wapumbavu sana, hatma yetu iko mikononi mwa Mungu pekee.
Tatizo kabla ya kwenda bungeni ilianzia kwenye baraza ambalo raisi ni mwenyekiti. Ina maana imeanzia kwakeNaamini Mama Mh Dr Samia hawezi kukubali kusaini sheria inayoelekea kuleta machafuko kwa watu wake alioapa kuwalinda.
Yatafanyika mda si mrefu usijari,serikali yetu ni sikivu sana chini ya raisi wetu mpendwa na mpenda amani na haki sawa kwa wote .Haya mabadiliko yamefanyika au ni muswada tu umepelekwa bungeni?
Hatukubali yafanyike, upuuzi huu.Yatafanyika mda si mrefu usijari,serikali yetu ni sikivu sana chini ya raisi wetu mpendwa na mpenda amani na haki sawa kwa wote .
Aisee hii ni comment bora kbs kwenye huu uzi... yaani umeandika kizalendo mnoo... ubarikiwe sana sana mkuu...ila ndo hivyoComment ya kizalendo kupita maelezo.
Hii muswada waliyoupitishaMuswada huu tayari umepita, Je, watanzania mmeshakaa mguu sawa kuvuna matunda machungu yatokanayo na muswada huu????
Je, mmeshajiandaa vya kutosha??