Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Na TANESCO wakazima ili tufanye utalii wa mvua za radi.

Kitu kinawakawaka hata christmass tree haiwaki ivo
 
Wanaosema Mungu hayupo angalieni hatari ya hiyo Radi, nani anaweza kuizuia usimtoe Roho?

Siku za usoni ikinyesha mvua kama hiyo ya Leo na Radi, mala mbili ya hiyo kwa siku tatu mfululizo huko mjini kwenu, nadhani kila mmoja wenu ataanza kumlilia Mungu wake aiweke nchi katika hali ya tulivu wa kawaida.
Kusema Mungu hayupo ni kushiba majivuno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…