Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Umeme umerudi na kukatoka Γ—5 ndani ya dakika tatu. Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Wanataka kuunguza nyumba na vifaa vyetu au vipi?

Duh, hadi nimeshusha main switch, these mofos ni wajinga sana.
 
Hakuna Pimbi yeyote asiyeemini uwepo wa Mungu, kwani Chifu hujui sifa za wanafki?
 
Mungu huyo kama yupo, Anashindwaje kudhibiti Radi hizo zisilete maafa kwa binadamu?

Watu wana mlilia Mungu huyo awaokoe na majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi Lakini Nothing happens wanaishia kufa tu.

Rejea Matetemeko ya ardhi ya Syria, Uturuki na Morocco maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote wamekufa na huyo Mungu Ameshindwa kuwa okoa.

Huoni kwamba Mungu huyo hayupo ndiyo maana hata wanaomlilia awaokoe wanaishia kufa tu?
 
Umeme umerudi na kukatoka Γ—5 ndani ya dakika tatu. Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Wanataka kuunguza nyumba na vifaa vyetu au vipi?

Duh, hadi nimeshusha main switch, these mofos ni wajinga sana.
Nchi ngumu Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…