Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Yan Maccm shughuli ni kuwaza Urais tu
 
Kwahiyo wanagawana tu inchi yetu. Wanarithishana...
 
Yaani mpaka kipindi hicho ccm watakua bado wanatawala??

Au hao watoto watagombea kwa chama cha chadema?
 
Akili imejaa kinyesi, huoni ht haya?
 
Lioneni hili zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…