Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Hili swali nimejiuliza mara nyingi sana, hawa mabakamabaka mbona siku hizi ni mdebwedo namna hii? Ndio maana wakipita Rwanda wanavuliwa nguo kupekuliwa na kina badhite wanawapa mafagio kuzibua vyoo mitaani eti ni uzalendo! Bangladeshi!
sasa kama mtu anaweza kuuza kila kitu ch Tanganyika na nyie kazi yenu ni kulinda mipaka ya atanganyika.....tusemeje?
 
Kassim akiwa Rais wa nchi ya Fiji nchi nzima itafurahi. Ipo siku inshaallah..!!
 
Hili swali nimejiuliza mara nyingi sana, hawa mabakamabaka mbona siku hizi ni mdebwedo namna hii? Ndio maana wakipita Rwanda wanavuliwa nguo kupekuliwa na kina badhite wanawapa mafagio kuzibua vyoo mitaani eti ni uzalendo! Bangladeshi!
Hiii acha basi???!!!! Walivuliwa chupi kabisa?
 
Swala kujipangia miaka 10 ijayo utakuwa rahisi ni la kipumbavu sana Wewe ni nani, haswa ukifa kesho je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…