Maombi/Sala ni nini?hakika yake hakumwombea, alimwita atoke kaburini, tena aliita kwa sauti. alipofika tu pale kwenye kaburi alielekeza jiwe litolewe kwenye mlango wa kaburi, akaita kwa sauti lazoro toka nje, akatoka ali mzima. hakumwombea. kama msomaji wa Bible hautaendelea kubishia jambo hili.
Kwahiyo nyie ni sawa na Yesu?hata Yesu hakufufua wote mzee, siku zile walikuwa wanakufa pia na wapo ambao hawakufufuka. kwa kusema hivyo manaake hauamini kama wafu wanaweza kufufuka kwa Jina la Yesu, ndio maana tunasema muokoke ili mbadilishwe maisha na Yesu.
Hahaha, akwaacha akina Sabaya, makonda waporeHakuna Watanzania wema ambao hawakulindwa na Magufuli. Ni nyie mafisadi tu na majizi ambao aliwabana.
Kwahiyo ulitaka mpaka Yesu aseme ...Mungu namuombea Lazaro? [emoji23] Hapa Yesu haombi? Sasa sisi hatuwaombei wafufuke kama Lazaro ambaye muujiza wake ulikuwa na lengo ili Kristo aminiwe na baadae alikufa tena!hakika yake hakumwombea, alimwita atoke kaburini, tena aliita kwa sauti. alipofika tu pale kwenye kaburi alielekeza jiwe litolewe kwenye mlango wa kaburi, akaita kwa sauti lazoro toka nje, akatoka ali mzima. hakumwombea. kama msomaji wa Bible hautaendelea kubishia jambo hili.
Nenda na BashiteNitahudhuria hiyo misa muhimu! Sisi wengine hatuishi nyakati, tunaishi tulichoamini na gharama zake. Rest in peace chuma JPM [emoji123]
Umejuaje hajafa? Kwa taarifa yako Onesefori alishafariki hapo. Soma vizuri maombi ya Mt Paulo bila mihemuko.huo mstari umeweka 2timoth 1:18 unaongelea mtu ambaye hajafa, ni mzima ila aliwahi kumsaidia Paulo.
yaani unataka nianze kukufafanulia hayo? somaSala ni nini?
Kufufuliwa ni nini?
Huyu Mchungaji/Padri/Askofu ni mnafiki mkubwa, ndiyo maana haya madini huwa naona ni utapeli mtupu!! Magufuli alidumisha amani gani? Kumtandika risasi Lissu?
Kanisa Katoliki linaweka mkazo kwenye kueneza Habari Njema (Injili) ya workout kama Yesu alivyofanya.kwahio kuna padri au askofu yeyote anatoa pepo siku hizi na kuwaambia watu wasitangaze/huwa hawatangazi inaenda kimyakimya? hata pepo kichanga tu hawana nguvu ya kumtoa kwasababu inahitaji Nguvu za Mungu kutoa pepo/shetani, na mapadre wala maaskofu hawana nguvu za Mungu.
Weka kuanzia mstari wa 41, hayo maneno ni ya mwisho kabisa.yaani unataka nianze kukufafanulia hayo? soma
Yohana 11:41-44 ” Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!” Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”
we expect the same to happen kwenu, muite kwa sauti, jpm toka nje, atoke aende chattle.
Magufuli ameokoa uhai wa watu wengi sana. Halafu hizo habari za kuua watu tulishawaomba uthibitisho hapa hamjawahi kutoa. It's nothing but a smearing campaign inayoongozwa na mafisadi ili kuua character yake njema. Hamtaweza.K
Kamuombeeni sana atoke Jehanamu , ila sijui ni Mungu gani anasamehe wauwaji wakubwa kama yeye
Mimi nilishangaa kama wewe. Ingekuwa makanusa kama ya Gwajima nisingeshangaa, lakini siyo Kanisa katoliki. Ila siyo ajabu, ukute huyu Askofu ni rafiki wa Askofu Pengo.Huyu Mchungaji/Padri/Askofu ni mnafiki mkubwa, ndiyo maana haya madini huwa naona ni utapeli mtupu!! Magufuli alidumisha amani gani? Kumtandika risasi Lissu?
Kwahiyo mmeshahukumu Wakatoliki hawamuombi Mungu!ni wa kila anayemwomba Mungu. haya kila aonaye kitu na aje ateke maji ya uzima bure..hapo aliongea akimaanisha Roho Mtakatifu atakayewashukia waamini baada ya yeye kupaa. nitajie padre au sista au askofu mmoja tu aliyejazwa Roho Mtakatifu. hakuna. sas amnaabudu nini? wakati Roho Mtakatifu anayeliongoza kanisa hayupo pamoja na nyi?
Hakika baada ya kifo hukumu, sahihi kabisa. Soma na huu mstari unijibu huu msamaha ktk ulimwengu ujao ni nini? Kuna zawadi ukijibu [emoji23]Ebr 9:27-28 SUV
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.