Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

hakika yake hakumwombea, alimwita atoke kaburini, tena aliita kwa sauti. alipofika tu pale kwenye kaburi alielekeza jiwe litolewe kwenye mlango wa kaburi, akaita kwa sauti lazoro toka nje, akatoka ali mzima. hakumwombea. kama msomaji wa Bible hautaendelea kubishia jambo hili.
Maombi/Sala ni nini?
 
hata Yesu hakufufua wote mzee, siku zile walikuwa wanakufa pia na wapo ambao hawakufufuka. kwa kusema hivyo manaake hauamini kama wafu wanaweza kufufuka kwa Jina la Yesu, ndio maana tunasema muokoke ili mbadilishwe maisha na Yesu.
Kwahiyo nyie ni sawa na Yesu?
 
hakika yake hakumwombea, alimwita atoke kaburini, tena aliita kwa sauti. alipofika tu pale kwenye kaburi alielekeza jiwe litolewe kwenye mlango wa kaburi, akaita kwa sauti lazoro toka nje, akatoka ali mzima. hakumwombea. kama msomaji wa Bible hautaendelea kubishia jambo hili.
Kwahiyo ulitaka mpaka Yesu aseme ...Mungu namuombea Lazaro? [emoji23] Hapa Yesu haombi? Sasa sisi hatuwaombei wafufuke kama Lazaro ambaye muujiza wake ulikuwa na lengo ili Kristo aminiwe na baadae alikufa tena!

Sisi tunaombea wapendwa wetu uzima wa milele! Kusamehe au kutosamehe inabaki kwa Muumba mwenyewe sisi wajibu wetu tukiwa hai ni kuombeana! Maandiko yanasema hata Kifo hakitatutenganisha na upendo wa Kristo.

41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Yohana 11:41

42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11:42

43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
Yohana 11:43
 
huo mstari umeweka 2timoth 1:18 unaongelea mtu ambaye hajafa, ni mzima ila aliwahi kumsaidia Paulo.
Umejuaje hajafa? Kwa taarifa yako Onesefori alishafariki hapo. Soma vizuri maombi ya Mt Paulo bila mihemuko.

Alafu vipi andiko la msamaha ulimwengu ujao hujaona?
 
Sala ni nini?

Kufufuliwa ni nini?
yaani unataka nianze kukufafanulia hayo? soma

Yohana 11:41-44 ” Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!” Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”

we expect the same to happen kwenu, muite kwa sauti, jpm toka nje, atoke aende chattle.
 
Ebr 9:27-28 SUV​

Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
 
kwahio kuna padri au askofu yeyote anatoa pepo siku hizi na kuwaambia watu wasitangaze/huwa hawatangazi inaenda kimyakimya? hata pepo kichanga tu hawana nguvu ya kumtoa kwasababu inahitaji Nguvu za Mungu kutoa pepo/shetani, na mapadre wala maaskofu hawana nguvu za Mungu.
Kanisa Katoliki linaweka mkazo kwenye kueneza Habari Njema (Injili) ya workout kama Yesu alivyofanya.

Miujiza na kufukuza pepo should never be the centre of Christianity ila Habari Njema.

Kanisa siyo sehemu ya kumaliza matatizo au kuwaondolea watu shida, ila inapaswa kuwa sehemu ya kuwasaidia watu kubeba mislabelled yao wamfuate Yesu na mwisho ili wafike mbinguni.
 
yaani unataka nianze kukufafanulia hayo? soma

Yohana 11:41-44 ” Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!” Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”

we expect the same to happen kwenu, muite kwa sauti, jpm toka nje, atoke aende chattle.
Weka kuanzia mstari wa 41, hayo maneno ni ya mwisho kabisa.
 
K
Kamuombeeni sana atoke Jehanamu , ila sijui ni Mungu gani anasamehe wauwaji wakubwa kama yeye
Magufuli ameokoa uhai wa watu wengi sana. Halafu hizo habari za kuua watu tulishawaomba uthibitisho hapa hamjawahi kutoa. It's nothing but a smearing campaign inayoongozwa na mafisadi ili kuua character yake njema. Hamtaweza.
 
Kwahiyo nyie ni sawa na Yesu?
aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi.

Yohana 14:12 NEN​

Amin, amin nawaambia, yeyote aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo yeye atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi atazifanya, kwa sababu mimi ninakwenda kwa Baba.
 
Huyu Mchungaji/Padri/Askofu ni mnafiki mkubwa, ndiyo maana haya madini huwa naona ni utapeli mtupu!! Magufuli alidumisha amani gani? Kumtandika risasi Lissu?
Mimi nilishangaa kama wewe. Ingekuwa makanusa kama ya Gwajima nisingeshangaa, lakini siyo Kanisa katoliki. Ila siyo ajabu, ukute huyu Askofu ni rafiki wa Askofu Pengo.
 
ni wa kila anayemwomba Mungu. haya kila aonaye kitu na aje ateke maji ya uzima bure..hapo aliongea akimaanisha Roho Mtakatifu atakayewashukia waamini baada ya yeye kupaa. nitajie padre au sista au askofu mmoja tu aliyejazwa Roho Mtakatifu. hakuna. sas amnaabudu nini? wakati Roho Mtakatifu anayeliongoza kanisa hayupo pamoja na nyi?
Kwahiyo mmeshahukumu Wakatoliki hawamuombi Mungu!
 
Wewe huoni watu walivyo huru sasa? Wanatamba kwenye nchi yao bila hofu ya kutumbukizwa kwenye Noah nyeusi! Muulize Melo kwanza anajisikiaje kwa sasa baada ya jambazi kukata roho
Unaelewa hata maana ya uhuru?
 
Ebr 9:27-28 SUV​

Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
Hakika baada ya kifo hukumu, sahihi kabisa. Soma na huu mstari unijibu huu msamaha ktk ulimwengu ujao ni nini? Kuna zawadi ukijibu [emoji23]

32 Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Mathayo 12:32
 
Back
Top Bottom