Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Wewe hujui unachokiongea. Bunge ni siasa, na ndilo linalotunga sheria zote za nchi hii, mpaka budget ya serikali. Sasa unavyolazimisha kwamba siasa na uchumi havitegemeani, nakuwa nakushangaa.
 
nkajua mnajadili uharibifu waliofanya, ila kwakua mnapenda kujitoa akili basi mtaendelea kunyooka
Hizo propaganda za uharibifu hazitokuja kuhalalisha mauaji mlofanya. Mhalifu anatakiwa kushughulikiwa kama sheria inavyosema. So, again, Damu mlizomwaga mtalipa na vizazi vyenu.
 
Wewe hujui unachokiongea. Bunge ni siasa, na ndilo linalotunga sheria zote za nchi hii, mpaka budget ya serikali. Sasa unavyolazimisha kwamba siasa na uchumi havitegemeani, nakuwa nakushangaa.
Bunge ni chombo tu, hata wakisema mwaka huu bajeti ni zaidi ya marekani kama hauko sharp kwenye maisha utaendelea kua tu maskini pamoja na uwepo wa bunge, lakini pia hilo bunge linaweza lisiwepo na ukawa na maisha mazuri kabisa kwan unadhan kila mtu anafanya biashara tanzania tu?
 
Hizo propaganda za uharibifu hazitokuja kuhalalisha mauaji mlofanya. Mhalifu anatakiwa kushughulikiwa kama sheria inavyosema. So, again, Damu mlizomwaga mtalipa na vizazi vyenu.
hamkufuata sheria ila mnataka sisi tufuate si ndio, sauwaaaa! mtazika sana
 
Tajiri gani unayemjua wewe ambae hana acc huku? Wewe unadhani unajibizana na maskini wenzio?
absolutely, ni rahisi sana kumjua maskini kwa anachokiongea maanaa mda wote anaongea matap tap, na pia wakati mnaandamana 29 tajiri gan alikua pale
 
hamkufuata sheria ila mnataka sisi tufuate si ndio, sauwaaaa! mtazika sana
Mhalifu toka lini akafata sheria, maana ya mhalifu ni nini? Sheria zimewekwa kwa ajili ya nani, magereza na mahabusu zipo kwa ajili ya nini?
 
absolutely, ni rahisi sana kumjua maskini kwa anachokiongea maanaa mda wote anaongea matap tap, na pia wakati mnaandamana 29 tajiri gan alikua pale
Pole sana wewe maskini, nenda kalime. Kilimo kwanza.
 
Mhalifu toka lini akafata sheria, maana ya mhalifu ni nini? Sheria zimewekwa kwa ajili ya nani, magereza na mahabusu zipo kwa ajili ya nini?
basi safi, alichokitaka kakipatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…