Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mdebwedo katudhalilisha sana Wasukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka apande kontenaRaia wake wanakufa kwenye Makontena wakisafirishwa kama mazao yeye hataki kupanda bus...
Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Aisee hatari sanaKweli ile ni dharau sana waliyofanyiwa viongozi wetu wa Kiafrica.
Unaishi kwenye dunia ipi!!?Hii habari mbona Haina chanzo Cha kueleweka? Kwa jinsi jambo la viongozi kupakiwa kwenye bas lilivyochukua sura mpya, lazima tu vyombo vya habari vingesema kwamba Rais wa Ethiopia hajaumia bas.
Natilia shaka hii taarifa.
Shida nn kama wamehakikishiwa usalama?Kujazwa kwenye "school bus" kama watoto wa Tusiime au St Mary.
Matahira nyie,hapa kutwa mnalalamika kwann viongozi wanatumia magari ya kifahari,Hivi KWa umoja wao viongozi wa Afrika wangeamua kutopanda wote ,na hata kutohudhulia msiba wao ilikua na shida GANI?
Sio mda wote utakua na msimamo ila kwenye Mambo ya kijinga lazima kuonesha msimamo mbwai mbwai tu kwani nini Bwana, na ingekua funzo kwao,
Nchi zote ni sawa ila sio sawa sawa, na Marais wote ni sawa kicheo ila sio sawa kiuchumi
KWa mantiki ya cheo walitakiwa treated the same,
But all in all Marais wa Afrika wapunguze mbembwe wawapo kwenye nchi zao , kumbe kuishi simple life inawezekana,
Acheni misafara ya ajabu, Yani watu wanasubili masaa wa kadha kisa anapita mtu mmoja
Wakatazeni wanao watwika utukufu maana ndo huwatia majivuno
Kwa nchi za Westminster model of government Waziri Mkuu ndiye Mkuu wa nchi. Rais ni ceremonial figure tu na hachaguliwi kwa kura za wananchi. Ni sawa na yule marehemu Canaan Banana aliyekuwa Rais wa Zimbabwe wakati wa Robert Mugabe akiwa PM.The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Waethiopia wengi Ni wakristo..Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.
Hata kuandika wana namna yao , hawatumii hizi alphabet ,
Kiufupi ni watu wenye misimamo tokea enzi hizo
Angevuka dodoma au Moro maana Iringa sio threat sana kwao wakipita hiyo mikoa miwili wamefika Malawi au Zambia...Alitaka apande kontena
WanaojitambuaThe only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia [emoji1098]. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.
View attachment 2365300
View attachment 2365297
Simoni alikuwa wa kutoka Libya; Siyo Ethiopia.Hii mjadala haujaisha?
Ethiopia ndio kwa akina Simon Mkirene aliyebeba msalaba wa Yesu
Alikuwa mfilisti 🙄Uyahudi ni Imani,iliyoanzia kwa Musa,hata baba yao Ibrahim(mwarabu) hakuwa myahudi
Mimi nimetumia ramani ya kale na ule mwimbo wa Kwaresma " Nani ajaye na msalaba"Simoni alikuwa wa kutoka Libya; Siyo Ethiopia.