Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".

They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.
Hata kuandika wana namna yao , hawatumii hizi alphabet ,
Kiufupi ni watu wenye misimamo tokea enzi hizo
 


Kabla ujamfananisha raisi wa marekani na kiongozi mwingine yeyote duniani. Tazama ulinzi wake alivyoenda kwenye msiba huo huo.

Kama utaweza angalia video yote hiyo midege yote ya Jeshi iliyotangulia siku kadhaa kabla yake aiendi vitani ni logistic tu ya ulinzi wake kabla ajafiika.

Yeye mwenyewe anakuja na airforce 1 zinapaa mbili, kila moja inalindwa fighter Jet mbili; yote hayo usijue yupo kwenye ndege gani.

Hivi unadhani US watakuachia security ya raisi wao muda wowote.
 
Hii habari mbona Haina chanzo Cha kueleweka? Kwa jinsi jambo la viongozi kupakiwa kwenye bas lilivyochukua sura mpya, lazima tu vyombo vya habari vingesema kwamba Rais wa Ethiopia hajaumia bas.

Natilia shaka hii taarifa.
Unaishi kwenye dunia ipi!!?
hiyo taarifa ipo kwenye public domain
 
njaa ya akili na maarifa.Africa ina viogozi basi au takataka tu R.I.P Thomas Sankara.
 
Hivi KWa umoja wao viongozi wa Afrika wangeamua kutopanda wote ,na hata kutohudhulia msiba wao ilikua na shida GANI?

Sio mda wote utakua na msimamo ila kwenye Mambo ya kijinga lazima kuonesha msimamo mbwai mbwai tu kwani nini Bwana, na ingekua funzo kwao,

Nchi zote ni sawa ila sio sawa sawa, na Marais wote ni sawa kicheo ila sio sawa kiuchumi

KWa mantiki ya cheo walitakiwa treated the same,

But all in all Marais wa Afrika wapunguze mbembwe wawapo kwenye nchi zao , kumbe kuishi simple life inawezekana,

Acheni misafara ya ajabu, Yani watu wanasubili masaa wa kadha kisa anapita mtu mmoja

Wakatazeni wanao watwika utukufu maana ndo huwatia majivuno
Matahira nyie,hapa kutwa mnalalamika kwann viongozi wanatumia magari ya kifahari,

Kumbe mnajua kuwa hao Ni viongozi wenye hadhi ya juu na Inatakiwa na magari yanayowabeba pia yawe ya hadhi ya juu,

Muache Sasa kuwa mnalalamika juu ya usafiri wanaotumia viongozi wenu nchini
 
Viongozi karibu wote waliopanda mabasi ni wale waliotoka nchi za Jumuia ya Madola. Kwahiyo msiba huo uliwahusu vilinyo. Ephiopia hawako Kwenye Jumuia ya Madola kwahiyo alikuwa sawa kukataa kupanda bus Wakati wenzake ambao hawapo Kwenye jumuia walitumia usafiri binafsi!
 
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".

They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Kwa nchi za Westminster model of government Waziri Mkuu ndiye Mkuu wa nchi. Rais ni ceremonial figure tu na hachaguliwi kwa kura za wananchi. Ni sawa na yule marehemu Canaan Banana aliyekuwa Rais wa Zimbabwe wakati wa Robert Mugabe akiwa PM.

.Kwa sasa Ethiopia PM ni Abiy Ahmed na Rais ni huyo mama Sahile Work Zewde. Kimsingi hakuwa na hadhi ya kupanda basi moja na wakuu wa nchi
 
Ethiopia ni falme pekee ambayo haikuwahi kutawaliwa na mkoloni Afrika, hao jamaa hata dini haikuingia kwao , si ukristu wala uislam.
Hata kuandika wana namna yao , hawatumii hizi alphabet ,
Kiufupi ni watu wenye misimamo tokea enzi hizo
Waethiopia wengi Ni wakristo..

tofauti yao na sisi wengine ni kwamba wao wana ukristo wa asili,hawajaletewa kwa kutawaliwa,wapo kama wakristo wa Syria,walikuwa wakristo tangu enzi za mitume wa Yesu (soma kitabu cha matendo utaona ya mitume jinsi mwanafunzi wa Yesu aitwaye philipo alipokutana na kiongozi kutoka Ethiopia Kisha akambatiza)

Nyongeza; Ethiopia Kuna kanisa hakikujengwa kwa mikono,lipo km limechongwa,halina matofali(kanisa la maajabu) ..ukienda kufanya utalii wenyeji husema lilijengwa na malaika wa Mungu km hekalu la Suleiman

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia [emoji1098]. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".

They couldn't convince her and let her to use the Ethiopian Embassy protocol.

View attachment 2365300

View attachment 2365297
Wanaojitambua

She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the protocol ...".
 
Sijui kwa nini hili la marais kupakiwa kwa mabasi watu wanalipaisha kihivyo...
 
Naam ni vema na Haki.... !!!!

Pia akirudi kwao ahakikishe kila Raia hapandi tena Bus anapewa Convoy (Raia pia wanahitaji respect as others)
 
Back
Top Bottom