A
Anonymous
Guest
Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza.
Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini hakuna msaada wowote uliopatikana
Matokeo hayo hayakujazwa wa baadhi ya Wanafunzi toka mwezi wa 4 baada ya matokeo ya Semister ya kwanza hadi leo 27 Disemba bado hayajajazwa.
Hii inakatisha tamaa kwa Wanafunzi lakini pia Ni uzembe kwa uongozi wa chuo kushindwa kutatua suala hili kwa Wanafunzi wao ambao kwa Sasa wapo mwaka wa pili
Aidha mwalimu huyo amekuwa akitafutwa haipatikani na wakati mwingine anapopigiwa simu hapokei
Tunakiomba chuo Cha SAUT Mwanza kutatua tatizo hilo kwani kunapunguza Imani ya Wanafunzi kwa chuo chao