Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Yanayotokea ccm leo ni ya kumlaumu Nyerere?Ni lawama gani ambazo hahusiki nazo ambazo amebebeshwa hapa?
Zitaje
Hali ngumu ya kiuchumu ni ya kumlaumu Nyerere?
Nchi kukosa vipaumbele muhimu kwa mustakabali wa kuboresha maisha ya wananchi wake ni sawa kumlaumu Nyerere?
Utekaji na kupotea kwa watu kiholela ni sawa kumlaumu Nyerere?
Naweza kuja na orodha ndefu hapa,itoshe kusema kuna mambo ya kumlaumu huyu mndewa na mengine yapo mbali sana uongozi wake