Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Yanayotokea ccm leo ni ya kumlaumu Nyerere?Ni lawama gani ambazo hahusiki nazo ambazo amebebeshwa hapa?
Zitaje
Nakubaliana na wewe kabisa, binafsi naamini kuna wanawake wengi huku wapo vizur sana ila hawajiamini tu,lakini wanaweza leta mabandiko yenye uzito kama haya ila bado wana ile hali ya kutotaka kuthubutu na huenda wanahofu ya kupata challenge hapa jukwaaniNitaandikiwa thread ngapi mkuu na kusaidiwa kujibu comment 😅😅
Kwanini watu wahawaamini kama mwanamke anaweza kujenga hoja?
Basi wapitie hata mabandiko yangu mengine wataona tu ni mimi mwenyewe wala sihitaji script kutoka kwa mtu au akili mnemba
Waje Tujadili kwa hoja hivyo tu
Tatizo lako unaamini ktk makaratasi.Nani kasema kua suluhisho la nchii ni Chadema ?
Kila siku tunasema hii nchi hata wakipewa chadema bila kuboresha kabitiba ni sawa na kazi bure
Hii nchi tatizo sio CCM
Tatizo ni misingi na muundo wenyewe ndio maana leo tunajadili kuhusu wa asisi wa taifa Nyerere akiwa kiongozi wao hao wazee laiti kama wangesimika misingi imara tusingekua hapa
Pengine tungekua na matatizo ila nadhani sio kwa ukubwa huu
Bila yeye kumpola mzee lyatonga Leo CCM ingekua history yeye ndio kiponzaSidhani kama ni sahihi kumlaumu Nyerere kwa haya yanayo tokea sasa hivi
Naamini lau kwamba angekuwa hai leo hii haya yasingetokea kabisa,tulimuona akiita press conference na kuzungumzia mambo mbali mbali ambayo alidhani yanapaswa kurekebishwa
Mfano alikemea vikali maswala ya rusha pale ambapo rushwa ilikuwa inaonekana wazi wazi
Na alisema wazi nchi hii inatakiwa ipate kiongozi ambaye akisema na akionekana tu kwa muonekano wake kwamba anapinga rushwa
Kwahiyo kumuhukumu mndewa Nyerere kwa makosa ya watangulizi wake sio sahihi kabisa
Hapa nakubaliana na wewe mkuu,hata yeye mwenyewe alishawahi kulizungumzia hili na kusema hii katika siku akija kushika madaraka mtu ambaye ni dikteta basi itakuwa ni balaa sanaHuyu mzee na yeye alifeli kwa kuunda katiba inayompa Raisi mamlaka makubwa.
Ndio kina Samia wanatamba nayo.
Hapa Nyerere aliboronga. Na alikuwa hataki kukosolewa.
Mzee aliyumba hapa.
Hawana adabu 😃Nitaandikiwa thread ngapi mkuu na kusaidiwa kujibu comment 😅😅
Kwanini watu wahawaamini kama mwanamke anaweza kujenga hoja?
Basi wapitie hata mabandiko yangu mengine wataona tu ni mimi mwenyewe wala sihitaji script kutoka kwa mtu au akili mnemba
Waje Tujadili kwa hoja hivyo tu
NI yeye haswaa Mzee wa kilalachaHaya mambo ya kung'ang'ania ya madaraka kumbe sio ya leo
Unadhani huo mwaka wa 95 wananchi walitaka nani ndio ashike kijiti au Ni Mrema?
Alitumia akili kubwa sanaBila yeye kumpola mzee lyatonga Leo CCM ingekua history yeye ndio kiponza
Kwa mtazamo wangu ubaguzi wa kisiasa ni kutoruhusu kabisa shughuli za vyama vingi vya kisiasa,hapo kama nchi ikipiga marufuku hiyo hapo sasa itakuwa imeleta ubaguzi wa kisiasaKuuana, kupotezana na kufungana kwa sababu ya siasa sio ushindani, ni ubaguzi wa kisiasa.
Alituponza Leo tunayaona matokeoAlitumia akili kubwa sana
Kwa namna gani,unataka kusema kama Mrema angechukua nchi kipindi kile labda mambo yangekuwa tofauti sana?Alituponza Leo tunayaona matokeo
Alikuwa hataki kupokea mawazo mbadala hizi sio dalili za udikiteta kweli?Huyu mzee na yeye alifeli kwa kuunda katiba inayompa Raisi mamlaka makubwa.
Ndio kina Samia wanatamba nayo.
Hapa Nyerere aliboronga. Na alikuwa hataki kukosolewa.
Mzee aliyumba hapa.
Tumeumbwa kusahau Kama Wana damu Ila mazila tunayoyapitia watanzania hakuna wakuvumilia NI sisi tuu hivi umewahi kusikia wapi mbunge ananunuliwa anaacha ubunge Kisha anaenda Tena kesho chama kingine anagombea ubunge huo huo aliouachia Jana chama kingine NI Tanzania pekee chini ya CCM tu unaweza kuyaona haya na kuyachukulia Kama ya kawaida SanaKwa namna gani,unataka kusema kama Mrema angechukua nchi kipindi kile labda mambo yangekuwa tofauti sana?
Hii mbegu tunaweza kuing'oa?Baba wa Taifa ana mazuri na mapungufu yake.
Kamwe hakuwapenda watu waliomzufi uwezo kama akina Tuntemeke sana na Oscar Kambona, vivyo hivyo, viongozi wa Leo wa Taifa letu hawapendelei kuona watu waliowazidi uwezo wakiishi kwa uhuru. Kwa ufupi yeye ndiye aliyepanda hii mbegu...
Wewe sijui hujaelewa hojaYanayotokea ccm leo ni ya kumlaumu Nyerere?
Hali ngumu ya kiuchumu ni ya kumlaumu Nyerere?
Nchi kukosa vipaumbele muhimu kwa mustakabali wa kuboresha maisha ya wananchi wake ni sawa kumlaumu Nyerere?
Utekaji na kupotea kwa watu kiholela ni sawa kumlaumu Nyerere?
Naweza kuja na orodha ndefu hapa,itoshe kusema kuna mambo ya kumlaumu huyu mndewa na mengine yapo mbali sana uongozi wake
Hao watawala watakua na hekima na utu ki vipi bila kuweka sheria zinazowabanaTatizo lako unaamini ktk makaratasi.
Nchi ili itawalike inahitaji sheria na vyombo vya ulinzi na usalama.
Hizo sheria ni kwaajili ya wananchi walioko mtaani na dola kulinda serikali na raia.
Ili wewe upate unafuu wa maisha inabidi nchi iwe tajiri kupitia viwanda
Hiyo katiba bila pesa italeta machafuko huoni kenya?
Ulaya na marekani kumetulia sababu pesa ipo ndio wakaea na katiba nzuri baada ya mageuzi ya viwanda wanalipa hadi wazee huku zitatuletea fujo
If there is no food there is no peace
Kikubwa watawala wawe na hekima pamoja na utu. Mbona morroco hsmna Taisi kuna mfalme ns nchi ni tajiri
Ni ngumu kidogo.Hii mbegu tunaweza kuing'oa?
😅😅 kwahiyo tumwagilie majiNi ngumu kidogo.