Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa


tulia umsome mleta mada kwa utulivu,wacha wenge.

kwahiyo hata kipindi cha JPM ni kipi kilifanya akose taarifa za wizara ya fedha,ila akapewa za bwawa la umeme ambazo mwenzake alinyimwa!!!!

siasa chafu hizi hazitamsaidia mtu,wala hazina faida kwa taifa hili zaidi mnawavuruga wananchi.
 
- Magufuli kaongeza mishahara na amewaacha vizuri kabisa hao watumishi
 
Kwa
viwango vya wajinga alifanya mazuri ila wenye akili alivurunda vibaya sana.
 
Hilo la malaika kumuweka upande gani, sisi halituhusu.
Sifieni sifa mamilion, lakini upande wake wajulikana,
Pia pondeni Mara milion milion ,
Bado upande wake wajulikana.
Yupo na misukule wengine ghamboshi.
 
1.Je unajua amekopa shs ngapi? Watangulizi wake hawakuwa wanakopa kopa hela nyingi kama yeye.
2. Je unajua miradi mingi hiyo mnayo ita ya kimkakati bado hele zilozolipwa hadi sasa hazifiki nusu? Na mzigo umekata?
3. Je wajua elimu bure ilikuwa propaganda, fedha haziendi za kutosha hadi inabidi wazazi tuchangie? Au halmashauri zitumie mapato yake kuendesha shule?
4. Je wajua kuwa ndege hazikulipiwa fedha zote..bado kuna fedha zinadaiwa?
 
Magu kaonesha makubwa ambayo tunaweza fanya Tz bila kua tegemezi, saizi wacha wamshangilie mama akisaini mikataba, haitapita mwaka mtanza kumponda tena
 
Nijuacho mimi, wananchi wa Tanzania hawajuagi wanataka nini,kazi ya JPM waliiona,alipotwaliwa na MUNGU wameibuka viongozi na kutangaza mambo ambayo yanashangaza na hayaaminiki

Tulikua na jambo moja tu kama wananchi,kuwapinga hawa watu wenye viashiria vya kumponda JPM na hasa ningefanya maandamano ya amani kushinikiza CAG aondoke mamlakani.

Wasaliti wa hivi ndiyo wezi wenyewe wa mali za wananchi
 
Yule mzee alikuwa mwizi, na tapeli, alitaka kuhamishia miradi yote chayo.
Watu kama wewe mko kwenye makundi haya[emoji116]

1. Vyeti veki

2. Fisadi watumbuliwa

3. Wasaka pesa na sifa za mamlaka

4. Wakaskazini wenye chuki na wivu na sifa kubwa ya kujenga kuchota pesa

5. Msio na upendo kwa watu.
 
WIZI wa Matokeo chanya ni watoto wa walipa kodi, kokosa madara na kukakaa chini..
Mna laana nyie MaCCM sio bure.

laana mnayo nyinyi mlioiba mkasahau hata kuna wenzenu nao wamezaliwa nchi hii wanafaa kuishi,mkawa mnataka kuuza mpaka mikoa.

Mungu kamwinua jpm kama fimbo ya Musa,kiongozi yeyote atakayitizama ataiepusha nchi hii na machafuko,ole wake atakayekaza shingo.

bi samia amejua hilo,wachumia hamwelewi saa hizi mnashika tawi gani maisha yaendelee.
 
Hadi nje ya nchi mfano ni Magu wazunu hawalalo wanamuota Magu mzee wa kuzuia covid sasa leo ameondoka ngoja sasa mbowe ndio huyo wameshamchoma subirini kama neema ya Mungu ikiwakosa sijui itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…