Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

Verrazanno

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
604
Reaction score
1,343
Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais.

Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bali refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

yanakuwa quoted in tonnes? not barrels or cubic metres?
 
IMG_8202.png

Source: Crude Oil Price Today | Brent OIL PRICE CHART | OIL PRICE PER BARREL | Markets Insider

Hiyo ni commodity market website inakupa bei in different metrics, bei ya crude (Brent) not refined.

Sasa unaweza kutafuta bei ya refined products na kufanananisha na bei za Msigwa kuona zina uhalisia au hadithi.
 
View attachment 3569715

Ufafanuzi uliotolewa hauendani na alichozungumza Samia. Samia alitoa mfano wa Bei nzuri ya mafuta hapa kwetu kulinganisha na nchi za ulaya na marekani,ndio akassma huko ulaya na marekani mafuta lita moja ni $8000. Akasema pia bei yetu hapa ni ndogo kuliko nchi majirani

Hayo ya soko la dunia mara sijui tani mmeleta nyie kina girishoni msigwa
 
Ndio msingi wa ufafanuzi kuna mtu keshatoa taarifa ambayo aileweki huko. Hata hiyo taarifa ya Msigwa ndio yale yale inabidi uchanganye na zako ikae sawa.

Alichoongea Samia sidhani kama kuna mtu alielewa kuanzia bei, units nor tie to the stream (down, mid, upper); nothing made sense.
 
umenisaidia, samuya kasema litres, ili kuficha aibu ndo msigwa akaja na tonnes, hata kwnye refineries wanatumia barrels au cubic metres. japo unaweza convert into lts, gallons, pint etc, mwamba anamtetea girishon naona, na ni koinsidensi tu kuwa madudu ya samuya yamelingana na tonnes, vingnevo sijui tungeficha wapi nyuso, japo the demage was done already, hata tujitete kvp dunia inatucheka kuwa tuna rais kilaza
 
Ndio msingi wa ufafanuzi kuna mtu keshatoa taarifa ambayo aileweki huko. Hata hiyo taarifa ya Msigwa ndio yale yale inabidi uchanganye na zako ikae sawa.

Alichoongea Samia sidhani kama kuna mtu alielewa kuanzia bei, units nor tie to the stream (down, mid, upper); nothing made sense.
hvo tuna rais roporopo?
 
Samia kazungumzia bei ya lita 1 ya ulaya na marekani vs Bei ya lita moja hapa kwetu

Kazungumzia lita
Hakuna anaebishia hilo alichoongea Samia ni sawa na kiarabu mbele ya Watanzania hakuna alie elewa.

Bei zake na units, nchi zake did not make sense at all; yeye mwenyewe ndio anajua alichokua anaongea.
 
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
SERIKALI FEKI IKAFAFANUA USHUZI ULE DAH🥲
 
Better still ukitaka facts za bei ya waagizaji wa mafuta nchini ni swala la kwenda kwenye website ya serikali (taasisi husika) ‘Petroleum Bulk Procurement Agency’

Bid na tender zote za mwaka huu zipo ☝️nani alishinda nini, ujazo gani na bei gani. Ujazo hata hapo kwenye website unatajwa kama MT (metric tonne)

☝️Tender za mwezi wa pili kabla ya mgogoro wa Middle East hizo hapo.

☝️Bid na tender za mwisho (mwezi April) hizo hapo; unaweza compare prices.

Uhitaji porojo za wanasiasa kujua hakina nani wanaleta mafuta, kwa bei gani, tofauti ya bei za February na April; maana mchakato wote upo wazi.
 
Na hayauzwi kwa kilo!
Litazame tena hili vizuri.

Huko sokoni, bidhaa hii iliyochenjuliwa huuzwa kwa uzito (metric ton).
Hili lipo hivyo.

Lakini huo aliouita yeye kuwa ufafanuzi wa yaliyosemwa na Mhalifu Samia, huo ni upotoshaji siyo ufafanuzi
.
Mhalifu alizungumzia bidhaa wanayouziwa wananchi mitaani katika nchi zote hata hizo alizozilinganisha na Tanzania.. Na kote huko huuzwa kwa lita, au galoni

Ufafanuzi wa kipuuzi kabisa.
 
Better still ukitaka facts za bei ya waagizaji wa mafuta nchini ni swala la kwenda kwenye website ya serikali (taasisi husika) ‘Petroleum Bulk Procurement Agency’

Bid na tender zote za mwaka huu zipo ☝️nani alishinda nini, ujazo gani na bei gani. Ujazo hata hapo huko kwenye website unatajwa kama MT (metric tonne)

☝️Tender za mwezi wa pili kabla ya mgogoro wa Middle East hizo hapo.

Bid na tender za mwisho (mwezi April) hizo hapo; unaweza compare prices.

Uhitaji porojo za wanasiasa kujua hakina nani wanaleta mafuta, kwa bei gani, tofauti ya bei za February na April; maana mchakato wote upo wazi.
Una imani sana na hawa watawala?

Sitaki kukulaumu, najuwa uliyoweka hapo juu ndiyo yanayotakiwa kufanywa "utaratibu", kama ulivyo uita wewe.

Kuna utaratibu wa waTanzania kupiga kura za kuchagua viongozi. Ukienda kwenye ukurasa wa Tume ya Uchafuzi, utakuta taarifa zote zinazoeleza Samia Suluhu Hassan alipata ushindi wa kura 31 milioni; sawa na asili mia 98 za wote walioshiriki kwenye zoezi hilo la kuchagua kiongozi wa nchi!

Mkuu 'Eugene Krabs'; kwa vile una imani na taarifa za hawa watu, naomba msaada kwako kama unaweza. Ni siku nyingi kidogo nimetafuta taarifa za kugawa Gesi yetu kule Mtwara kwa watu wa Oman. Unaweza kunielekeza ni wapi ninapoweza kwenda kujisomea taarifa hiyo?
Gesi yenyewe ipo Ntorya, Mtwara (kama sijakosea jina la eneo husika). Lakini najuwa kwa uhakika Gesi hiyo walipewa hao watu wa Omani; nisichojuwa ni kwa makubaliano yapi. Kulitolewa tenda yoyote?
 
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
This makes sense
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.
Dah!
Kumbe ulianzia huku?
 
Back
Top Bottom