Kila mtu anajua Mama Samia anauwezo mdogo wa kielimu na hajasoma vizuri hesabu kuweza kujua bei ya mafuta hasa za kimataifa. Mkisikia Dr jamani ni za kupewa na tumwelewe yeye anategemea kusoma tu asikosoma ndiyo hivyo atatoa pumba tu. Mama Samia ni kama robot pale kawekwa na watu wameiba kura lakini wanajua ni zero
Huyu jamaa anacheka tu
Huyu jamaa anacheka tu