Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
Bei ya mafuta masafi kwenye soko la dunia iko pegged kwa tani (metric tonne). Kama ulifaulu Physics form two TZ huna haja ya kushangaa hili. Ukijua density ya mafuta (based on temperature) unaweza kukokotoa volume in cubic metres and litres. However inventory is in cubic metres
 
Umelazimishwa na mtu kusoma vitu ambavyo uelewi?
Wewe na Samia akili zenu ni sawa. Unachojaribu kupindisha hapa (huenda kabisa wewe ni huyu kilaza Msigwa) unazidi kuonyesha ujinga wenu. Samia kasmea wazi na tumesikia kuwa anazungumzia bei za mlaji mitaani. Halafu ulivyo Idiot kama huyo aliyekuteua unajifanya kupindisha kwa kuweka lugha ya kiingereza uya kukopa hapa na pale ili watu wakuogope. Mjinga kabisa wewe na mteuzi wako.
 
Sasa huko sio kusema mama ajagawa misitu yetu bure kwa waarabu wakafanyie carbon trade au kugawa bandari, DART na mengineo.
Mkuu 'Eugene', mbele ya yote -'HESHIMA' kwako.!

Maelezo yako juu ya "taratibu zinazofuatwa" sioni tatizo lolote.

Tatizo pekee ni lilelile niloibua toka mwanzo.

Wewe unakomaria "Taratibu" zilizopo kwenye makaratasi; ambazo kila mtu anazijuwa.

Ukiwauliza polisi wa Tanzania juu ya utendaji kazi wao; watakuonyesha "Taratibu" ambazo hata nchi zilizoendelea watazionea wivu.
Ukienda kwenye mahakama zetu, Jaji Mkuu kila leo akisimama anaelezea na kusisitiza "Taratibu" walizonazo, ambazo mtu yeyote akizilalamikia atakuwa amepungukiwa kichwani.

Ni kwa msingi huo huo, nikataka ueleze hayo ya Ghesi yetu ya Ntorya ilivyogawiwa kwa waoman; na jinsi hizo "Taratibu" za TUME (HURU) ya UCHAFUZI ilivyofuata taratibu zilizoainishwa kumpata mshindi wa kura 31 millioni.

Sasa wewe hapa katika andiko hili refu, unanizungusha tena kwenye yale yale ya "TARATIBU"!

Samia Suluhu Hassan, na karibu Genge lake lote; na hata hao wanaoingia humu JF kujaza takataka hutumia ulaghai huo huo wa kugeuza/kupindisha wanayoulizwa wayaeleze.
Wewe hapa unatumia njia zilezile.

Sikutaka kuanza kwa hali ngumu; kwa sababu naona unao uelewa mzuri kuliko hao wengine.
Ila natatizwa na hii tabia ya kujifanya huelewi kinachosemwa, na badala yake kukomaa na maswala tofauti ili kupoteza lengo tu.

Bado siamini kuwa nawe ni sehemu ya walaghai hawa, lakini mwelekeo unaonyesha hivyo, pengine kwa kutojuwa!

Uliyoandika hapo juu, umerudia yaleyale ya swala la mafuta kama ulivyolieleza toka mwanzo. Sasa siamini kama kweli unaamini "TARATIBU" huko kwingine kote ulikokutaja zinafuatwa kama zilivyoainishwa kwenye hayo makaratasi unayosoma wewe.

Na kama bado hunielewi, basi kutakuwa na tatizo mahali fulani katika uelewa wako.

BTW: Imenibidi nirudi baada ya kuandika na kubandika hayo niliyoandika huko juu, na kusoma baadhi ya majibu yako mengine katika mada hii ya ukilaza wa watumishi kama Msigwa na huyo anayemtumikia.

Nimetambuwa kuwa wewe ni 'recruit' mpya kuja kutetea ujinga humu JF; kama walivyo akina Steve Joel Ntamusana, na akina Tlaatlaah, Lucas Mshamba na wengi wengine.

Kwa hiyo ni vizuri sasa kwamba utambulisho wako upo wazi.
 
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Wewe na Samia akili zenu ni sawa. Unachojaribu kupindisha hapa (huenda kabisa wewe ni huyu kilaza Msigwa) unazidi kuonyesha ujinga wenu. Samia kasmea wazi na tumesikia kuwa anazungumzia bei za mlaji mitaani. Halafu ulivyo Idiot kama huyo aliyekuteua unajifanya kupindisha kwa kuweka lugha ya kiingereza uya kukopa hapa na pale ili watu wakuogope. Mjinga kabisa wewe na mteuzi wako.
Huyo 'jamaa' ni hao hao wanaovuruga mambo ndani ya nchi hii.
Sasa yeye anafikiri ni mjanja sana kuliko Samia ambaye wote tunajuwa ni kilaza namba moja ndani ya nchi hii.

Huyo ni 'recruit' mpya aliyepewa kazi ya kueneza ulaghai wa Samia humu JF.
 
Huku unapaswa kusema yale yanayowafurahisha watu hata kama ni misconception, huu uzi haufiki mbali maana watu humu huwa hawapendi facts.
"FACTS", ziko wapi?
Utawala wa Samia Suluhu Hassan unazo "FACTS" zipi zilizowaweka madarakani?

Unajisemea tu maneno bila ya kufahamu unazungumzia nini?

Tuonyeshe "FACTS" ambazo watu humu hawazipendi!

Hiyo taarifa ya Samia inazo 'facts' zipi, na hiyo ya "ufafanuzi" facts ziko wapi?

Do you even know what you're writing about?
 
Sasa kaka mkubwa unaetetea kua mafuta yanauzwa kwa tani kwa mujibu wa kwenye makaratasi uko ofisini Je,tani 1 ni usd ngapi maana kwa bei ya pipa wote tunajua pipa 1 ni kati ya usd 70-120 kwa mafuta ambayo hayajachakatwa na iyo ndio bei ya dunia
 
Hakuna anaebishia hilo alichoongea Samia ni sawa na kiarabu mbele ya Watanzania hakuna alie elewa.

Bei zake na units, nchi zake did not make sense at all; yeye mwenyewe ndio anajua alichokua anaongea.
Hata mwenyewe alikuwa hajui alichokua anaongea ndo maana alirekebishwa na Bado akakosea
 
Wewe na Samia akili zenu ni sawa. Unachojaribu kupindisha hapa (huenda kabisa wewe ni huyu kilaza Msigwa) unazidi kuonyesha ujinga wenu. Samia kasmea wazi na tumesikia kuwa anazungumzia bei za mlaji mitaani. Halafu ulivyo Idiot kama huyo aliyekuteua unajifanya kupindisha kwa kuweka lugha ya kiingereza uya kukopa hapa na pale ili watu wakuogope. Mjinga kabisa wewe na mteuzi wako.
Huyo Msigwa kama kweli ni member humu atakuwa kachoka maana kila uchao kuna ID inahusishwa nayeye.

Halafu kwa jinsi huyu ‘Eugene Krabs’ kila mara anavyomwita Samia kilaza, yaani kama Boss nae anasoma nikuteue katibu mkuu, uwe rijizi halafu mapambio yenyewe kama unaning’ong’a vile kila muda unawaambia watu sina akili. Kama boss hapana kwakweli lazima nikuonye mjomba acha kuniita kilaza ukiendelea natafuta chawa mwingine mzuri kwenye kunipamba bila ya kunikejeli.

Mimi sio Msigwa wala chawa wa Samia/CCM; ni vizuri tu tunapojadili haya mambo kuwa realistic/objective na sio kujipa hype wenyewe kisa ni narrative tunazotaka hata kama facts zake zina utata. Huko sasa nikujidanganya mwenyewe na kuna madhara.
 
View attachment 3569715
Source: Crude Oil Price Today | Brent OIL PRICE CHART | OIL PRICE PER BARREL | Markets Insider

Hiyo ni commodity market website inakupa bei in different metrics, bei ya crude (Brent) not refined.

Sasa unaweza kutafuta bei ya refined products na kufanananisha na bei za Msigwa kuona zina uhalisia au hadithi.
Kwa hiyo TANZANIA inaagiza tone ngapi mkuu za crude oil

Wewe ni mpumbavu unatetea ujinga

Ufafanuzi wa msigwa unajibu vipi hotuba za rais aliyekuwa aliyekuwa anazungumzia litre za mafuta ?
 
Huyo Msigwa kama kweli ni member humu atakuwa kachoka maana kila uchao kuna ID inahusishwa nayeye.

Halafu kwa jinsi huyu ‘Eugene Krabs’ kila mara anavyomwita Samia kilaza, yaani kama Boss nae anasoma nikuteue katibu mkuu, uwe rijizi halafu mapambio yenyewe kama unaning’ona vile. Kama boss hapana kwakweli lazima nikuonye mjomba acha kuniita kilaza ukiendelea natafuta chawa mwingine mzuri kwenye kunipamba bila ya kunikejeli.

Mimi sio Msigwa wala chawa wa Samia/CCM; ni vizuri tunapojadili haya kuwa realistic na sio kujipa hype wenyewe kisa ni narrative tunazotaka hata kama facts zake zina utata. Huko sasa nikujidanganya mwenyewe na kuna madhara.
Realistic ya kusema ukilaza wa kusema bei ya mafuta lita moja ni euro 6000 na dola 8000? Halafu ''anasahihishwa'' na kusema ''amepenyezewa'' eti ni 600 na 800. Halafu anatokea kilaza mwingine anasema alikuwa anazungumzia bei ya tani moja wakati vituo vya mafuta vyote wanauza kwa kutumia lita na ndilo haswa Samia alilenga? Wewe huoni huyu rais ni bure kabisa na angefaa kuwa bar akiuza bia? Klaza wa aina hii anayeshindwa kuelewa mambo madogo kabisa kama haya hayo makubwa inakuwaje?
 
Mkuu 'Eugene', mbele ya yote -'HESHIMA' kwako.!

Maelezo yako juu ya "taratibu zinazofuatwa" sioni tatizo lolote.

Tatizo pekee ni lilelile niloibua toka mwanzo.

Wewe unakomaria "Taratibu" zilizopo kwenye makaratasi; ambazo kila mtu anazijuwa.

Ukiwauliza polisi wa Tanzania juu ya utendaji kazi wao; watakuonyesha "Taratibu" ambazo hata nchi zilizoendelea watazionea wivu.
Ukienda kwenye mahakama zetu, Jaji Mkuu kila leo akisimama anaelezea na kusisitiza "Taratibu" walizonazo, ambazo mtu yeyote akizilalamikia atakuwa amepungukiwa kichwani.

Ni kwa msingi huo huo, nikataka ueleze hayo ya Ghesi yetu ya Ntorya ilivyogawiwa kwa waoman; na jinsi hizo "Taratibu" za TUME (HURU) ya UCHAFUZI ilivyofuata taratibu zilizoainishwa kumpata mshindi wa kura 31 millioni.

Sasa wewe hapa katika andiko hili refu, unanizungusha tena kwenye yale yale ya "TARATIBU"!

Samia Suluhu Hassan, na karibu Genge lake lote; na hata hao wanaoingia humu JF kujaza takataka hutumia ulaghai huo huo wa kugeuza/kupindisha wanayoulizwa wayaeleze.
Wewe hapa unatumia njia zilezile.

Sikutaka kuanza kwa hali ngumu; kwa sababu naona unao uelewa mzuri kuliko hao wengine.
Ila natatizwa na hii tabia ya kujifanya huelewi kinachosemwa, na badala yake kukomaa na maswala tofauti ili kupoteza lengo tu.

Bado siamini kuwa nawe ni sehemu ya walaghai hawa, lakini mwelekeo unaonyesha hivyo, pengine kwa kutojuwa!

Uliyoandika hapo juu, umerudia yaleyale ya swala la mafuta kama ulivyolieleza toka mwanzo. Sasa siamini kama kweli unaamini "TARATIBU" huko kwingine kote ulikokutaja zinafuatwa kama zilivyoainishwa kwenye hayo makaratasi unayosoma wewe.

Na kama bado hunielewi, basi kutakuwa na tatizo mahali fulani katika uelewa wako.

BTW: Imenibidi nirudi baada ya kuandika na kubandika hayo niliyoandika huko juu, na kusoma baadhi ya majibu yako mengine katika mada hii ya ukilaza wa watumishi kama Msigwa na huyo anayemtumikia.

Nimetambuwa kuwa wewe ni 'recruit' mpya kuja kutetea ujinga humu JF; kama walivyo akina Steve Joel Ntamusana, na akina Tlaatlaah, Lucas Mshamba na wengi wengine.

Kwa hiyo ni vizuri sasa kwamba utambulisho wako upo wazi.
Hakuna mtu timamu ambae atasema mfumo wa haki Tanzania ni mzuri kama ata huyo jaji mkuu na makamu wa raisi wanamaswali na upatikanaji wa haki.

Shida yako wewe ni kufanya generalisation ya samaki mmoja akioza, wote wameoza; na hii si kweli.

Unafananisha machungwa na maembe; mwanzo umeuliza merit ya fairness kwenye bidding process kuagiza mafuta nimekupa historical development iliyopelekea utaratibu wote kuwekwa wazi (ukienda kwenye website yao kuna more info on openness of the process).

Wewe tena umetoka kwenye kuagiza mafuta unaleta mifano ya utendaji kazi polisi na mahakama hilo ni swala lingine na hakuna sehemu nimesema kuko fair.
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote. Tunajiuliza kua haya tunaona mbele ya camera no takataka je uko nyuma ya camera si ni hatari mno.
Tanganyika inaangamia huku tunaona kisa mzenji mmoja.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa hiyo TANZANIA inaagiza tone ngapi mkuu za crude oil

Wewe ni mpumbavu unatetea ujinga

Ufafanuzi wa msigwa unajibu vipi hotuba za rais aliyekuwa aliyekuwa anazungumzia litre za mafuta ?
Pitia michango yote ya mada utaelewa tulipofikia
 
Realistic ya kusema ukilaza wa kusema bei ya mafuta lita moja ni euro 6000 na dola 8000? Halafu ''anasahihishwa'' na kusema ''amepenyezewa'' eti ni 600 na 800. Halafu anatokea kilaza mwingine anasema alikuwa anazungumzia bei ya tani moja wakati vituo vya mafuta vyote wanauza kwa kutumia lita na ndilo haswa Samia alilenga? Wewe huoni huyu rais ni bure kabisa na angefaa kuwa bar akiuza bia? Klaza wa aina hii anayeshindwa kuelewa mambo madogo kabisa kama haya hayo makubwa inakuwaje?
Hakuna aliesema humu the woman is clever wala kuna aliemuelewa alichokuwa anaongea.
 
Post yako ya kwanza ulisema ''Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi''
Mawazo yangu ni kuwa hii fyongo aliyofanya Samia siyo ya kunyamazia. Ni jambo linaloweza kuonekana ni dogo sana lakini linaonyesha kila kitu kuhusu uelewa huyu mama. Sehemu yake ni bar afungue vizibo..
 
Back
Top Bottom