Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

Una imani sana na hawa watawala?

Sitaki kukulaumu, najuwa uliyoweka hapo juu ndiyo yanayotakiwa kufanywa "utaratibu", kama ulivyo uita wewe.

Kuna utaratibu wa waTanzania kupiga kura za kuchagua viongozi. Ukienda kwenye ukurasa wa Tume ya Uchafuzi, utakuta taarifa zote zinazoeleza Samia Suluhu Hassan alipata ushindi wa kura 31 milioni; sawa na asili mia 98 za wote walioshiriki kwenye zoezi hilo la kuchagua kiongozi wa nchi!

Mkuu 'Eugene Krabs'; kwa vile una imani na taarifa za hawa watu, naomba msaada kwako kama unaweza. Ni siku nyingi kidogo nimetafuta taarifa za kugawa Gesi yetu kule Mtwara kwa watu wa Oman. Unaweza kunielekeza ni wapi ninapoweza kwenda kujisomea taarifa hiyo?
Gesi yenyewe ipo Ntorya, Mtwara (kama sijakosea jina la eneo husika). Lakini najuwa kwa uhakika Gesi hiyo walipewa hao watu wa Omani; nisichojuwa ni kwa makubaliano yapi. Kulitolewa tenda yoyote?
Ukweli ni kwamba hii serikali ni corrupt na ya hovyo kwa kila namna.

Halikadhalika kuna vitu michakato yake hiko wazi, kungekuwa na foul play kwenye bidding process ya kuagiza mafuta makelele ungeyasikia.

Kilichofanya hiyo open process ni baada ya miaka mingi ya malalamiko mchakato hauko fair na wahusika huko wana hela, connections na fitna wanazijua. Kuondoa kelele ndio ukaanzishwa huo utaratibu na masharti yake (kushiriki lazima uwe na hela ya kuweka upfront) kuondoa ushiriki wa sakapoko. Mradi hakuna kelele assumption ni kwamba mambo yanaenda fair walau kwa upande wa washiriki.

Swala la umiliki wa gas kuna taratibu zake natural ni serikali kuuza licence through bidding. Asikudanganye mtu wachezaji hasa wa vitalu vya offshore ni kampuni chache sana duniani (exploration ni very risk and expensive business) meli yenyewe ya sonar kuikodisha kwa siku ni dollar million kadhaa unaweza tumia mpaka $1 billion na usipate commercially worth reserves.

Njia ya pili ni kununua kwa hawa walionunua licence baada ya kugundua kitalu kina commercial reserves (ndio walivyoingia kampuni zinazotaka kujenga LNG).

Sasa Oman kaingia vipi sijui mara ya mwisho serikali kuuza licence ilikuwa 2014 marehemu Mengi akataka alete udalali; Dr Mpango akawaambia wana hela ya viwanda vya juice huko
wasiende kuleta usumbufu.

Samia nae tena alifanya round ya bidding mwaka jana. Sasa ukiniuliza kuna kampuni ya Oman inakitalu mimi sijui; Lakini kama wanavyo ni kwa kushinda licensing bid au kununua kwa mtu alieshinda awali.

Ni hivi sehemu kubwa ya malalamiko ya mradi wa LNG JF umejaa hadithi tu na uelewa mdogo wa mambo yanavyofanyika. Vinginevyo taratibu na njia zipo wazi sema tunachagua hadithi saa zingine zinazokidhi narrative zetu.

Sasa huko sio kusema mama ajagawa misitu yetu bure kwa waarabu wakafanyie carbon trade au kugawa bandari, DART na mengineo.
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.
Unajaribu kusema nini? Mbona huelewiki?
 
Ukweli ni kwamba hii serikali ni corrupt na ya hovyo kwa kila namna.

Halikadhalika kuna vitu michakato yake hiko wazi, kungekuwa na foul play kwenye bidding process ya kuagiza mafuta makelele ungeyasikia.

Kilichofanya hiyo open process ni baada ya mingi ya malalamiko mchakato auko fair na wahusika huko wana hela, connections na fitna wanazijua. Kuondoa kelele ndio ukaanzishwa huo utaratibu na masharti yake (kushiriki lazima uwe na hela ya kuweka upfront) kuondoa sakapoko. Mradi hakuna kelele assumption ni kwamba mambo yanaenda fair walau kwa upande wa washiriki.

Swala la umiliki wa gas kuna taratibu zake natural ni serikali kuuza licence through bidding. Asikudanganye mtu wachezaji hasa vitalu vya offshore ni kampuni chache sana duniani (exploration ni very risk and expensive business) meli yenyewe ya sonar kuikodisha kwa siku ni dollar million kadhaa.

Njia ya pili ni kununua kwa hawa walionunua licence baada ya kugundua kitalu kina commercial reserves (ndio walivyoingia kampuni zinazotaka kujenga LNG).

Sasa Oman kaingia vipi sijui mara ya mwisho serikali kuuza licence ilikuwa 2014 marehemu Mengi akataka alete udalali; Dr Mpango akawaambia wana hela ya viwanda vya juice. Samia nae tena alifanya round ya bidding. Sasa ukiniuliza kuna kampuni ya Oman inakitalu mimi sijui; Lakini kama wanavyo ni kwa kushinda licensing bid au kununua kwa mtu alieshinda awali.

Ni hivi sehemu kubwa ya malalamiko ya mradi wa LNG JF umejaa hadithi tu, taratibu na njia zipo wazi sema tunachagua hadithi.

Sasa huko sio kusema mama ajagawa misitu yetu bure kwa waarabu wakafanyie carbon trade au kugawa bandari, DART na mengineo.
Hapa sasa nimekuelewa. Wewe ni hawa vilaza wanaofaidika na mama wa ''lita ya petrol kwa euro 6000''. Ni hawa vilaza waliojaribu ku-control damage kwa kusema alikuwa anataja bei ya mafuta kwa tani, wakati hata wao wanahitaji mtu wa kuwafanyia damage control.
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.
Tumekuwa kama nzi vile, mpaka kidonda ndo tunatua, you said it all mpwa.
 
Hapa sasa nimekuelewa. Wewe ni hawa vilaza wanaofaidika na mama wa ''lita ya petrol kwa euro 6000''. Ni hawa vilaza waliojaribu ku-control damage kwa kusema alikuwa anataja bei ya mafuta kwa tani, wakati hata wao wanahitaji mtu wa kuwafanyia damage control.
Ingia kwenye mijadala with open mind, vinginevyo utatumia reading bias ku-interpret vitu unavyotaka wewe.

Be objective kwenye majadiliano ukishakuwa na preconceived notions ushajiwekea wingu.

That is to say accusations zako hazipo substantiated na nilichoandika, kilichopo ni kuongeza wigo wa mtazamo tu. Ukisema kwamba hakuna tonnes kwenye ununuzi wa mafuta wakati ipo tayari unajiwekea limitations on what is the truth.
 
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!

Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!

Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.

Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.

Na hayauzwi kwa kilo!

Umeitia aibu serikali.

Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
Kuna watu watatokwa povu kwa kumtetea
 
Saa zingine tupunguze kulalamika.

Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.

Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.

Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.

Nimependa point yako. Tatizo ni moja tu ufafanuzi wa Msigwa hazihusiani kabisa na alichokiongea Rais. Na kwa hesabu za Msigwa ongezeko la bei ya mafuta ni zaidi ya 120 %. Huu ufafanuzi wake unaongeza maswali zaidi.
 
Bei kupanda kwa 120% inawezekana kabisa, clearly Msigwa anaongelea refined products.

Iwapo Crude ilipanda mpaka 40% msafishaji bado anagharama za kupanda kwa shipping cost (mafuta ya meli, insurance na toll charge ya kupita Hormuz).

Bado kuna components (catalysts) zinazotumika kwenye refining process na zenyewe si ajabu zimepanda. Ukijumlisha kila kitu hadi kurudi kwenye faida bei inaweza panda mara mbili.

Ni mfano tu sio established facts, kuna sababu luluki za kupanda kwa refined oil kwa huyo Msigwa anatakiwa aulizwe source ya bei zake.
 
Bei kupanda kwa 120% inawezekana kabisa, clearly Msigwa anaongelea refined products.

Msigwa hawezi kuwa anaongelea refined products. Kwa saab katamka - in fact kaandika - neno SOKO LA DUNIA

Tatizo, refined products haziuzwi soko la dunia.

VASELINE ya kujipaka usoni ni mafuta ya ardhini lakini hayauzwi kwenye soko la dunia!

Hawa watu ndio wanaenda kujadili uwekezaji wa fossil fuels zetu ( natural gas ya Mtwara) na bei za imported commodities, halafu:

/ hawajui yanauzwa kwa kilo au kwa vikombe au viroba

/ hawajui yanauzwa bei gani soko la dunia

/ hawajui product gani hasa hasa inauzwa

HUWEZI KWENDA SOKO LA NAFAKA TANDALE UKAOMBA SAHANI YA WALI DENGU!

NA MAHAKAMA YA NDIZI MABIBO HATUUZI MTORI HAPA !!!!

MSIGWA, NA IKULU WALIOMPA KIKARATASI RAIS WAKAMWINGIZA CHAKA, WALE WAJE KUUZA NDIZI MABIBO, SISI TUINGIE HUMO KWENYE SYSTEM KUAGIZA MA BRENT CRUDE OIL NA KUINGIA MIKATABA YA GESI TUONE KAMA HATUTATOBOA KAMA NCHI.

JAMANI... SERIKALI WAKOME kuwa wanatumia lugha za tutatoa elimu...
tutatoa ufafanuzi... tutatoa mwongozo...

Na nyinyi hamjui lolote!
 
Vilaza waliomo serikalini wana Taabu sana. Kwa kweli wateme Bungo tu, vinginevyo ni yake mambo ya trab na trat sijui karunguyeye na Nduguze Nchemba
 
msigwa
 
Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 18
Msigwa hawezi kuwa anaongelea refined products. Kwa saab katamka - in fact kaandika - neno SOKO LA DUNIA

Tatizo, refined products haziuzwi soko la dunia.

VASELINE ya kujipaka usoni ni mafuta ya ardhini lakini hayauzwi kwenye soko la dunia!

Hawa watu ndio wanaenda kujadili uwekezaji wa fossil fuels zetu ( natural gas ya Mtwara) na bei za imported commodities, halafu:

/ hawajui yanauzwa kwa kilo au kwa vikombe au viroba

/ hawajui yanauzwa bei gani soko la dunia

/ hawajui product gani hasa hasa inauzwa

HUWEZI KWENDA SOKO LA NAFAKA TANDALE UKAOMBA SAHANI YA WALI DENGU!

NA MAHAKAMA YA NDIZI MABIBO HATUUZI MTORI HAPA !!!!

MSIGWA, NA IKULU WALIOMPA KIKARATASI RAIS WAKAMWINGIZA CHAKA, WALE WAJE KUUZA NDIZI MABIBO, SISI TUINGIE HUMO KWENYE SYSTEM KUAGIZA MA BRENT CRUDE OIL NA KUINGIA MIKATABA YA GESI TUONE KAMA HATUTATOBOA KAMA NCHI.

JAMANI... SERIKALI WAKOME kuwa wanatumia lugha za tutatoa elimu...
tutatoa ufafanuzi... tutatoa mwongozo...

Na nyinyi hamjui lolote!
Shida ni kwamba tayari una preconceived ideas zako na conclusion yako. Vinginevyo soko la dunia la mafuta sio kwa sababu ya mafuta ghafi tu.

Kwa tafsiri, soko ni mahala popote ambapo wauzaji na wanunuzi wanakutana. Refinery nyingi kubwa azichakati mafuta kwa sababu ya local market tu, bali na kuuza pia kwa yeyote duniani. Maana yake hilo ni soko la dunia, na linaenda kwa utaratibu uleule wa demand and supply.

Tanzania hatuna refinery tunanunua somewhere duniani (huyo anaetuuzia anawateja wengine duniani), kwa tafsiri hiyo refinery ni soko la dunia.

Pili mtu akishakutajia prices za byproducts (petrol, diesel and kerosene) zinazopatikana kwa kuchakata crude ni wazi aongelei bei ya crude.

Mafuta yanauzwa kwa ujazo gani, labda kama unataka kubisha tu maana ata ukienda kwenye website ya PBPA ujazo upo quoted in MT (Metric Tonnes)

IMG_8204.jpeg

Hayo mikataba ya Gas na LNG nitayaruka kuyaongelea sio rahisi vile kama mijadala ya JF.
 
Msigwa anachofahamu ni kupiga madili ya ukarabati uwanja wa taifa na kuongeza bei ya manunuzi ya uwanja wa Arusha akiigiza anabeba vifaa na kupiga mapicha kumbe anatetea upigaji.

Mambo ya gesi, mafuta , madini hayahitaji mtu kilaza na mvivu wa kusoma kuyajadili.
 
Back
Top Bottom