Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 604
- 1,343
yanakuwa quoted in tonnes? not barrels or cubic metres?Saa zingine tupunguze kulalamika.
Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.
Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.
Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.
yanakuwa quoted in tonnes? not barrels or cubic metres?
Ufafanuzi uliotolewa hauendani na alichozungumza Samia. Samia alitoa mfano wa Bei nzuri ya mafuta hapa kwetu kulinganisha na nchi za ulaya na marekani,ndio akassma huko ulaya na marekani mafuta lita moja ni $8000. Akasema pia bei yetu hapa ni ndogo kuliko nchi majiraniView attachment 3569715
Source: Crude Oil Price Today | Brent OIL PRICE CHART | OIL PRICE PER BARREL | Markets Insider
Hiyo ni commodity market website inakupa bei in different metrics, bei ya crude (Brent) not refined.
Sasa unaweza kutafuta bei ya refined products na kufanananisha na bei za Msigwa kuona zina uhalisia au hadithi.
Ndio msingi wa ufafanuzi kuna mtu keshatoa taarifa ambayo aileweki huko. Hata hiyo taarifa ya Msigwa ndio yale yale inabidi uchanganye na zako ikae sawa.Ufafanuzi uliotolewa hauendani na alichozungumza Samia. Samia alitoa mfano wa Bei nzuri ya mafuta hapa kwetu kulinganisha na nchi za ulaya na marekani,ndio akassma huko ulaya na marekani mafuta lita moja ni $8000. Akasema pia bei yetu hapa ni ndogo kuliko nchi majirani
Hayo ya soko la dunia mara sijui tani mmeleta nyie kina girishoni msigwa
umenisaidia, samuya kasema litres, ili kuficha aibu ndo msigwa akaja na tonnes, hata kwnye refineries wanatumia barrels au cubic metres. japo unaweza convert into lts, gallons, pint etc, mwamba anamtetea girishon naona, na ni koinsidensi tu kuwa madudu ya samuya yamelingana na tonnes, vingnevo sijui tungeficha wapi nyuso, japo the demage was done already, hata tujitete kvp dunia inatucheka kuwa tuna rais kilazaUfafanuzi uliotolewa hauendani na alichozungumza Samia. Samia alitoa mfano wa Bei nzuri ya mafuta hapa kwetu kulinganisha na nchi za ulaya na marekani,ndio akassma huko ulaya na marekani mafuta lita moja ni $8000. Akasema pia bei yetu hapa ni ndogo kuliko nchi majirani
Hayo ya soko la dunia mara sijui tani mmeleta nyie kina girishoni msigwa
Samia kazungumzia bei ya lita 1 ya ulaya na marekani vs Bei ya lita moja hapa kwetuNdio msingi wa ufafanuzi kuna mtu keshatoa taarifa ambayo aileweki huko. .
Alicho ongea Samia sidhani kama kuna mtu alielewa bei, units, stream (down, mid, upper); nothing made sense.
hvo tuna rais roporopo?Ndio msingi wa ufafanuzi kuna mtu keshatoa taarifa ambayo aileweki huko. Hata hiyo taarifa ya Msigwa ndio yale yale inabidi uchanganye na zako ikae sawa.
Alichoongea Samia sidhani kama kuna mtu alielewa kuanzia bei, units nor tie to the stream (down, mid, upper); nothing made sense.
Hakuna anaebishia hilo alichoongea Samia ni sawa na kiarabu mbele ya Watanzania hakuna alie elewa.Samia kazungumzia bei ya lita 1 ya ulaya na marekani vs Bei ya lita moja hapa kwetu
Kazungumzia lita
SERIKALI FEKI IKAFAFANUA USHUZI ULE DAH🥲Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!
Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!
Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.
Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.
Na hayauzwi kwa kilo!
Umeitia aibu serikali.
Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
Raisi akiboronga hata kama ni kilaza kama huyu wetu; maana yake na team inayomzunguka nayo ni ya hovyo kweli kweli.hvo tuna rais roporopo?
Pamoja mkuu, kumbe we siyo chawa, ngoja nimalizie usingz, huku kwetu bado ni ulalaji.Raisi akiboronga hata kama ni kilaza kama huyu wetu; maana yake na team nayo ni ya hovyo kweli kweli.
Raisi ni taasisi kwa hivyo kuna watu wengi wa kulaumu kwa mashudu tuliyoyaona kwenye uapisho.
Litazame tena hili vizuri.Na hayauzwi kwa kilo!
Una imani sana na hawa watawala?Better still ukitaka facts za bei ya waagizaji wa mafuta nchini ni swala la kwenda kwenye website ya serikali (taasisi husika) ‘Petroleum Bulk Procurement Agency’
Bid na tender zote za mwaka huu zipo ☝️nani alishinda nini, ujazo gani na bei gani. Ujazo hata hapo huko kwenye website unatajwa kama MT (metric tonne)
☝️Tender za mwezi wa pili kabla ya mgogoro wa Middle East hizo hapo.
https://www.pbpa.go.tz/uploads/documents/en-1772107491-TENDER%20RESULTS%20SUMMARY%20APRIL%202026.pdf
Bid na tender za mwisho (mwezi April) hizo hapo; unaweza compare prices.
Uhitaji porojo za wanasiasa kujua hakina nani wanaleta mafuta, kwa bei gani, tofauti ya bei za February na April; maana mchakato wote upo wazi.
This makes senseMsigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko sisi wengine wooote tuliobaki!
Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea. Kuna mambo hujui!
Soko la dunia mafuta ni aina moja tu: CRUDE OIL.
Ukinunua kachakate upate mafuta ya taa, ya breki, ya lami, ya kujipaka, ya dizeli.
Na hayauzwi kwa kilo!
Umeitia aibu serikali.
Pia soma: Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta
Dah!Saa zingine tupunguze kulalamika.
Mtu akikutajia tu bei ya paja, vibawa, miguu, kidali, firigisi; hapo tena atuongelei bei ya kuku mzima bali vipande ambavyo vimeshakatwa.
Similar mtu akianza kutaja bei ya diesel, petrol na kerosene hapo tena aongelei crude, bo refined; na bei zenyewe anazitaja in bulk procurement (yes mafuta yanakuwa quoted in tonnes from refinery) maana yake anaongelea midstream prices.
Kuna uozo serikalini ndioo, lakini saa zingine tunakuwa too much excited na sisi wananchi.