Samia kazungumzia bei ya lita 1 ya ulaya na marekani vs Bei ya lita moja hapa kwetu
Kazungumzia lita
Mkuu mbona huna utulivu kwenye kusoma na kuelewa, nilichosema ni kumkosoa huyo anayeconcetrate na mambo ya tani ikiwa concept ya Samia ilikua kwenye lita. Nikimaanisha hakuna utetezi wowote u aoweza kueleweKa maana Samia alikosea hajui alichozungumzaKwa hiyo lita moja ulaya ni dola mia nane ????
Inakuingia akilini hiyo ?
Aliyeandika hotuba ya Rais is clueless.
Aliyepeleka kakaratasi ya kumsahisha na yeye ni scrub.
Msigwa - ambaye yeye alijiandaa na presser - akqpiga simu TPDC, akapiga simu kwa mabalozi Ulaya, akapiga simu TRA, Bandari, Idara ya Takwimu, na bado akaingia chaka. huyu tunamwitaje yani ?
Hivi mtu kama Msigwa alifanyiwa usaili gani mpaka kufanywa msemaji wa Magufuli ? Msemaji wa Rais ? Eeeh? Alikuwa kada UV CCM ?
samuya ni either hashauriki au wanamwacha ajivue chupi hadharani au hayupo sawa kichwani, kwa mazingira yaliyokuwepo rais mwenye nazo hawez kumteua mtoto wake ambaye naye ni kilaza tu kwenye baraza la mawaziri, hawezi kumwamisha shosti wake mwenye kashfa za ufisadi kutoka ubunge bunge la ea (ambao aliupata kimizengwe na ni kilaza pia) na kumwamishia bunge la jmt, acha madudu mengne ya kutosha, huyu mama yenu hii nchi ingekuwa na wanaume alitakiwa awe ameondoka siku mbili baada ya kuapishwa.Raisi akiboronga hata kama ni kilaza kama huyu wetu; maana yake na team inayomzunguka nayo ni ya hovyo kweli kweli.
Raisi ni taasisi kwa hivyo kuna watu wengi wa kulaumu kwa mashudu tuliyoyaona kwenye uapisho.
Labda nikuulize swali we unadhani raisi Samia ni independent thinker mwenye control au kuna ‘regency council’ nyuma yake iliyokamata power kwa mgongo wake.samuya ni either hashauriki au wanamwacha ajivue chupi hadharani au hayupo sawa kichwani, kwa mazingira yaliyokuwepo rais mwenye nazo hawez kumteua mtoto wake ambaye naye ni kilaza tu kwenye baraza la mawaziri, hawezi kumwamisha shosti wake mwenye kashfa za ufisadi kutoka ubunge bunge la ea (ambao aliupata kimizengwe na ni kilaza pia) na kumwamishia bunge la jmt, acha madudu mengne ya kutosha, huyu mama yenu hii nchi ingekuwa na wanaume alitakiwa awe ameondoka siku mbili baada ya kuapishwa.
Jana wametaja bei imepungua kwa pipa moja ni usd 99 baada ya Trump kutangaza kutaka kusitisha vita ila huku kwetu wao wanapima kwa tani kama mahindi..yanakuwa quoted in tonnes? not barrels or cubic metres?
nchi ina vituko hii mkuu, rais anasema lita ya petrol us ni $500 wakat us mafuta yanauzwa kwa gallon siyo lita .Jana wametaja bei imepungua kwa pipa moja ni usd 99 baada ya Trump kutangaza kutaka kusitisha vita ila huku kwetu wao wanapima kwa tani kama mahindi..
kwa hyo mkuu hlo genge ndo lilimttma aje kutuambia lita ya petrol us ni $500!ii au ni kama ulivosema awali kuwa hata yeye hakuwa anajua anaongea nn?Labda nikuulize swali we unadhani raisi Samia ni independent thinker mwenye control au kuna ‘regency council’ nyuma yake iliyokamata power kwa mgongo wake.
Kwa sasa kama ushamuelewa ni mtu wa aina gani hakuna cha kushangaza atakachofanya tena (unless kama unatafuta stress zisizo za lazima).
Kuhusu nepotism hiyo ni culture issues siasa za Zanzibar hiyo ni kawaida sana kwao; ni muendelezo wa taratibu alizo zoea.
'Obviously' huelewi ninachoeleza, au unajifanya huelewi, tabia ile ile anayotumia Samia na wapambe wake wote.; ndiyo maana nikaanza kuwa na mashaka na wewe.Unafananisha machungwa na maembe; mwanzo umeuliza merit ya fairness kwenye bidding process kuagiza mafuta nimekupa historical development iliyopelekea utaratibu wote kuwekwa wazi (ukienda kwenye website yao kuna more info on openness of the process).
Wewe tena umetoka kwenye kuagiza mafuta unaleta mifano ya utendaji kazi polisi na mahakama hilo ni swala lingine na hakuna sehemu nimesema kuko fair.
Unanishangaza sana kama huelewi ninachojaribu kukuelewesha!Shida yako wewe ni kufanya generalisation ya samaki mmoja akioza, wote wameoza; na hii si kweli.
Siyo roporopo, sema tuna rais KILAZA!hvo tuna rais roporopo?