Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Watu mameanza nongwa Kwa FA sisi ndio wa bongo....

JPM aliwai kumwambia Paul makonda wew chapa kazi kinacho takiwa ni kujua kusoma na kuandika.....🤓🤓🤓🤓
 
Kawaida tu,Tz tuliwahi kuwa na utaratibu enzi za JK wa kutoka kujua "kusoma na kuandika" hadi shahada.

Eric Shigongo hana CSEE wala ACSEE ila ana Undergraduate degree tena first class.
 
Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.

Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.

Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.
Fanya wewe sasa uone kama elimu yako itatambuliwa.
 
Tena diploma ya Nyerere pale makerere ili major somo la kiswahili na biology ila masters kasoma History ni maajabu tu. Just keep off.
 
Bt FAA Si mtoto wa maskini pekee, ni kitengo.
Huwa sipendi kumuongelea huyu jamaa kwa sababu muangaikaji na kapitia mengi ila kuwa kitengo labda hiyo ajira kaipata hivi karibuni.

Halafu ana more powerful enemies ndani ya serikali sidhani ata kama analielewa hilo yeye mwenyewe. Kwa ivyo astahili attack za vijana wenzake.
 
Kawaida tu,Tz tuliwahi kuwa na utaratibu enzi za JK wa kutoka kujua "kusoma na kuandika" hadi shahada.

Eric Shigongo hana CSEE wala ACSEE ila ana Undergraduate degree tena first class.
Shigongo kasoma vyuo gani?
 
 
Huwa sipendi kumuongelea huyu jamaa kwa sababu muangaikaji na kapitia mengi ila kuwa kitengo labda hiyo ajira kaipata hivi karibuni.

Halafu ana more powerful enemies ndani ya serikali sidhani ata kama analielewa hilo yeye mwenyewe.
Tumwache mtoto wa maskini afanye KAZI,

Vijana wa aina hii ni WAZALENDO, haezi nunuliwa.

Bt pia hii ni Mtego kwake maana yakiharibika akiwemo ni Aibu Kwa vijana wanaomwamini nyuma yake.
 
Kuwa mbunge, ndo kigezo cha kuwa waziri. Na kigezo vya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu.!! Ifu yu noo yu noo
 
Mbongo akikupa business card
Alafu ukute huyo mwenyewe Ana dr,degree ,masters Prof [emoji1]
Lazima achapishe elimu zake kwenye businescard

Ova
Hahaaa, sasa utajuaje yeye msomi?
 
Huyu anakachumbari ya course sio mchezo..

Ila ni sawa maana elimu ni haki ya kila mtu na serikali inapaswa kurahisisha njia za kupata elimu ili wananchi wengi zaidi wasome.
Elimu ni haki ya kila mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…