TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Rip Thadei Ole Mushi. Tusipiganie vyama. Tupiganie kodi zetu zitumike vizuri kwenye elimu, hasa afya, kwamba ukiumwa utatibiwa vizuri hata kama huna pesa.

Afya, elimu, miundombinu kama umeme, barabara, kodi, tozo zinamgusa kila mtu.

Watoto wetu wote wanazaliwa hospitalini. Tuna wazazi wanahitaji huduma za afya. Muhimu tupigane kujenga miundombinu ya afya.
 
Siasa za Africa ni unafiki mtupuuuu
 
May his soul rest easy [emoji1416]
 
R.I.P Mushi uzuri kila mtu atakufa ikiwa na hao wana CCM ambao walimtenga kipindi anaumwa
 
Ukisema R.I.P. ndiyo marehemu atachukua ushauri wako na kulala kwa amani? Hizo kwaya za R.I.P. ni watu kufuata mkumbo tu lakini kiukweli haina mantiki wala uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…