johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rip Mushi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za Africa ni unafiki mtupuuuuThadei OLe Mushi ametwaliwa katika Ulimwengu Mungu. Alikuwa kada wa CCM aliyependa haki na hakusita kukosoa adharani.
Alipoanza kuugua tu viongozi wa CCM wakajitenga naye na hakuna aliyejitokeza adharani kumtakia afya njema wala kutoa mchango wa matibabu .
Sawa ameondoka, tulitegemea account za wana CCM ziandike japo RIP lakini wote wamekaa kimya. Means kwao itikadi ya chama ni kubwa kuliko maisha na uhai?
Tujifunze kuchagua marafiki. Naamini siku ya mazishi wataandaa risala na watafanya kama vile siyo wao waliokaa kimya kwenye ugonjwa.
Tunapita ila tujiulize tunapitaje?
May his soul rest easy [emoji1416]Thadei OLe Mushi ametwaliwa katika Ulimwengu Mungu. Alikuwa kada wa CCM aliyependa haki na hakusita kukosoa adharani.
Alipoanza kuugua tu viongozi wa CCM wakajitenga naye na hakuna aliyejitokeza adharani kumtakia afya njema wala kutoa mchango wa matibabu .
Sawa ameondoka, tulitegemea account za wana CCM ziandike japo RIP lakini wote wamekaa kimya. Means kwao itikadi ya chama ni kubwa kuliko maisha na uhai?
Tujifunze kuchagua marafiki. Naamini siku ya mazishi wataandaa risala na watafanya kama vile siyo wao waliokaa kimya kwenye ugonjwa.
Tunapita ila tujiulize tunapitaje?
Kwa sababu tunapata matatizo hatutakiwi kusikitika au kuumia kwa matatizo ya wengine?Unasikitika nn na ww kesho zamu yako
Alilambishwa sumu na Gilbert MassaweHuyu alikuwa anasumbuliwa na nini
Ova
Ujumbe wako Gilbert A Massawe ☝️Alilambishwa sumu na Gilbert Massawe
Unamuonea wivu marehemu?Ukisema R.I.P. ndiyo marehemu atachukua ushauri wako na kulala kwa amani? Hizo kwaya za R.I.P. ni watu kufuata mkumbo tu lakini kiukweli haina mantiki wala uhalisia.
RIP Thadei Ole Mushi