generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Weka video tuiangalie tuone uongo wakoBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Wee alizomewa vibaya mnoooMbona mnapenda kujidhalilisha hivi!!?? Kama alishangiliwa kwanini hakuendelea na mada??
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikuta no ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,
8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.
9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
Ukumbi mzima ulimzomea hadi akaacha kuongea huo utopolo wake.Kuna machawa wanaluowa kuharibu taswira
DuuuhBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Ivi ashawahi kutokea rais akawa hapendwi kama samia?
Huyu mama ananuka mavi
Ameshaiperemba yote Ile Milioni 2 hana ubavu wa kuirudisha anatafuta asemehewe
Ndio mauaji haya,mpuuzi wwKwenye siasa hilo jambo dogo mnooo, ni nyumbu tu kwakuwa mnatamani sana mabaya yatokee ndo mnakuza sana. Kina macron wamepigwa mpaka vibao na kurushiwa mayai, we unazungumzia zomea za nyumbu waliolewa?!!! Hata hivyo, hoja yake MwanaFA kuwa Kuna bonge la arena linajengwa imesikika na muda sio mrefu hiyo zomea ya nyumbu waliojipanga hapo ukumbini italipwa kwa vigelegele vya furaha siku ya kufunguliwa hiyo arena. Musiyempenda anaendelea kuvunja rekodi Moja baada ya nyingine........ni kumbukumbu nzuri mno baadae akishatoka; Kuna nyumbu kadhaa humu zitatamani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, arudi tena.
Unauliza uwepo wa madarakani ndo nini'?!!! Jibu rahisi uwepo wa madarakani:-
- ndo mamlaka,
-ndo uwezo wa kuzuia nyumbu kuivuruga nchi kupitia ugashp wao unaoitwa maandamano,
-ndo maendeleo yanayopigwa,
-ndo uzuiaji wa ushoga wa unataka kuletwa kutoka ubelgiji n.k.
Hatutaki wauji na majambzziWewee, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, siyo mshamba wa kuumizwa na kajambo kadogo kama hako, yule ni mtoto wa mjini kitambo na anazijua siasa enyi nyumbu muelewe. Mipango yake inasonga kama kawa hivyo nyumbu jiandaeni tu kuwa killed softly.
Hii ndo ile chuki uliyowasingizia chadema wameiweka kwa wananchi.Waja hawajamkopesha licha ya kutaka kuwaperemba lakini wamemkatalia bila kuchoka. Mpaka akabadili mada.
Watu wametoa pesa zao kuburudika yeye analeta siasa