MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104


Hatutaki mambo ya Sri Lanka hapa.
 
IPTL nayo imerudi tena? Kuna kiongozi flani bila aibu alituingiza mkenge sana kuwa eti fedha zile sio za Serikali! Kumbe yeye na timu yake ndio walizipiga! Hizi laana za dhuluma sijui zitawafikisha wapi wakati wanahudumiwa kila kitu kwa fedha za walala hoi wa Tz!
 

Una uhakika na unachosema?
 
Vipo vyanzo vya kutosha kuiingizia hii nchi pesa za kutosha, kabla hata ya kuzungumzia uvujifu wa mapato kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima. Kinachohitajika ni akili tu kama za Wa-Israeli wanaoishi jangwani.
Sasa si ututajie hivyo vyanzo, wengine hatuvijuwi. Au ni siri yako?

Bahati mbaya sisi siyo Waisrael na hatuishi jangwani.
 
Acha propoganda nyepesi, viwango vya kukopa na kukopeshwa kwa nchi huwa vinaamuliwa na wanasiasa tu.
Hapana, vipo vya wachumi wetu na vipo vya wachumi wanakopesha.

Hakuna anaekukopesha akiona huna uwezo wa kulipa. Nenda benki iliyokaribu na wewe ukaulize kanuni za mikopo.
 
[emoji2956][emoji2956]
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
Tumependa wenyewe mm nilitegemea hicho kiwe kimeondoshwa muda mrefu kwa sababu kwa sasa wanachojua ni uchawa tu mpaka tunapata kichefuchefu
 
Msaada kutoka kwa Yasser Arafat

Kumbukumbu nzuri ya Uwepo wa hilo taifa Wakati fulani!
Kumbe ni sadaka

Unaona wenye mioyo yao mema hao, wenyewe wanasaidiwa na wao wakasaidia na madaktari wakaleta. Mpaka Muhimbili waliwahi kuwepo madaktari wawili watatu wakipalestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…