Wanaume siku hz tumesahau kuwa mwanamke anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako sio mwanamke awe maisha yako. Wanawake wapo kutupa upendo nas tupo kuonesha upendo. Mwanamke anatak uzungumze naye kihisia. Tafta mwanamke aliye kweny ligi yako. Hwez lala na kila mwanamke u
Mwanamke akikupenda, yote hayo comes naturally.
Na ndo maana unawaona watu wa kawaida tu na wana wake visu sana na watulivu kwenye ndoa zao.
Mtaimba sana na kuumiza kichwa lakini a woman in love is something else.
Very true sababu hawa wenzetu nao wapo aina mbili.Kuna vitu viwili na huja tofauti kadri ya mazingira anayokutana nayo
1.Kuna mwanamke kupenda na
2.Upendo wa mwanamke kudumu
Very true sababu hawa wenzetu nao wapo aina mbili.
Kuna wa kuonyesha shukrani kwa kuvumiliwa kipindi cha shida, kuna wa kukufanya ujute ulikuwa unavumilia nini.
Ni kweli anaishi nanyi kwa akili kwa sababu pesa yake anapiga kutoka kwa wanawake.Karogwa wapi
Mwenzenu amejua kuishi nasi kwa akili
You are so right.Wanaume wengi wakiwa vibaya kiuchumi hohehahe Wana upendo wa HATARI!
Utapendwa wewe hadi unaweza kujikuta kwiniElizabeti
Wakipata pesa wanaanza kukimbizana na wadada wa kwa mparange na wewe unaonekana mshamba usiye na mvuto
Blessed Tuesday Kurucee
Ni kweli anaishi nanyi kwa akili kwa sababu pesa yake anapiga kutoka kwa wanawake.
Kwahiyo anacheza vizuri na saikolojia yenu, yeye utabibu wake ni matatizo ya wanawake na homoni zao tu, atawapiga ela hadi akili ziwarudie.
Mwaka hakuna Samia wala suluhu anayotatuwa, ni mpigaji tu kama wapigaji wengine.Kila binadamu na kila chanzo Cha mapato kinatokana na kutatua changamoto au matatizo ya watu wengine.
Na yeye Mwaka ndicho anachofanya na Mimi na wewe tutafute matatizo tuyatafutie suluhu nasi tupige pesa. Sio dhambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati wewe unapoendelea kuuita upuuzi na kuumia wenzio wanafanya hivyo na kufurahia mahusiano
Jikaze kiume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?
Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo
Wakolosai 3:18-19Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE
MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......
Mwaka anayaweza kwelikweli
Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?
Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo