Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Na ww ukitaka mume weka kigezo kimoja 😂😂😂ambae hajawahi piga nyetroo uone kama hujazeekea kwenu
Yy mtibeli ana vigezo gani kwanza??
Sitaki mwanaume mvivu mimi, ikifika muda wa show time, show bizzy anaanza kusingizia ana shipa la ngiri limemkamata 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 Mi ndo naingia ss hivi hapa, nilikuwa kwenye mishe zangu si unajua pesa ngumu..!!!
Nimemkumbuka mpk papaa aliyetaka anioe nikamkataa sababu anajichubua 🤣🤣🤣
Mfate saiv kafungua transporter yake inapeleka mizigo tunduma & congo😂😂😂
 
Yy mtibeli ana vigezo gani kwanza??
Sitaki mwanaume mvivu mimi, ikifika muda wa show time, show bizzy anaanza kusingizia ana shipa la ngiri limemkamata 🤣🤣🤣🤣
Nje ya kitanda maneno mengi ukipelekwa kitandan ukilambwa shingo unaanguka mwenyw 😂😂finger mbili unahema tu hata jina lako hukumbuki
 
Papaa ana mpunga mrefu ila kanishinda kwenye vichubuzi 😂😂😂
Sema wacongo ni kama lifestyle lao wakishazishika tu faranga mara tattoos, Rasta na mademu....tena hawa wanaofata mizigo dar lazima wakifika humu watafute
 
Sema wacongo ni kama lifestyle lao wakishazishika tu faranga mara tattoos, Rasta na mademu....tena hawa wanaofata mizigo dar lazima wakifika humu watafute
Huyo ana mgodi wa Almasi sema vikopo vya carolight sio shida zake 😂😂😂
 
Yupo FaizaFoxy kwenye mtihani wako anapata 200% ana sifa zote za wale mabikira 72 wa peponi
 
What do u have to offer? Value is negotiated by value!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…