Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Mjifunze kua romantic mke angu na mnyoa kila ijuumah.....kwetu hiyo sio issue nikama shamba langu nalikagua kila wakati.
Hii ya kila ijumaa zinakuwa zinaota kwa mbolea ya supergrow
 
Unabahati mbaya ulipata mwanaume masikini asio jua thamani ya mke, wakwangu suala la pesa sio issue kwasbb nafanya kazi kuajiri yake na watoto nayeye ndo kiongozi, next time tafuta mwanaumme mwenye pesa na kujali sio handsome tu.
Unaweza kuta pesa yako iko tu kwenye maandishi, mtu akikujua live anaweza kaa chini akaliiiiiaaa....wanaume wengi mnalalama mno humu hata kuombwa efu3 unaeza ukasema kakuomba kitita cha fedha
 
Nakumbuka niliwahi kushuhudia ugomvi mkubwa Kisa Mwanaume ametoka safari kakuta kiwanja kisafi,Akaanza kutoa kipigo kwa mkewe kwa nini kasafisha pori yeye alitaka kwa kipindi alichokaa alitaka akute msitu.
Kati ya wwaka 1989 au 1990, niliwahi kusuluhisha mtafaruku baina ya rafiki yangu na mkewe, kisa shemeji alilima ukwekwe nyeti bila ya ruhusa ya mumewe. Halafu leo kina Evelyne salt wanaona ni utumwa. Makungwi wameisha siku hizi. Au sijui nao waneingia kwenye mkumbo wa dot.com.
 
Ndo maana hata wanawake wanapaka bleach
Unakuta mke wa mtu ana bleach, vikuku miguuni
Kwakuwa hawana wa kumhofia
 
Mjifunze kua romantic mke angu na mnyoa kila ijuumah.....kwetu hiyo sio issue nikama shamba langu nalikagua kila wakati.
Naam,nasi uwa tuna ratiba rasmi yakunyoana,huyu anaanza,then mwingine anafata,raha kweli kweli,baada ya hapo unajua nini kinaendelea kabla yakuoga kwa pamoja mmmh!!
 
Nimecheka saana ati!!
 
Naona kama kuna unyanyasaji, na mwanaume akinyoa vipi?
Tatizo lenu mmemezwa kwenye 50/50 ndiyo maana unafananisha na upande wa KICHWA. Kwa nini uulize kwa KICHWA naye je!! Unataka haki sawa kwa wote? Ndiyo maana NDOA hazidumu miaka hii kwa kutaka haki sawa kwa wote. Hii ni haki ya kimahaba iliyokuwa inazingatiwa. Wanandoa waliishi hivyo, kama unaona ni unyanyasaji ni kwa sababu ya nyakati na mafundisho ya kimagharibi; utandawazi, nk.
 
hii inategemea ndoa na ndoa,zipo zingine hiki hufanyika bila kuulizana na wengine hunyoana,na wengine wanaombana ruhusa kunyoa,ukweli hakuna sheria ya moja kwa moja juu ya jambo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…