Wewe hujawahi kufika Iran bhana unaongopa kwa faida ya nani? Au kuongopa kwako ni tulizo la moyo?Iran ni lazima wanawake kuvaa hijab kisheria kwenye umma, wasiovaa wanavunja sheria na inategemea siku hiyo basij militia wameamkaje.
Wakristo inawanogea saana wanawake wakitembea uchi!!! Ni kwanini eti? Vita yenu kwa wenzenu waislam ni juu ya kupiga marufuku kina mama kutembea uchi na ushoga,ila nyie mnapambana wanawake watembee uchiMwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Kariakoo tu wanawake wanaopita na nguo za kubana sana watu wanawapigia kelele na kuwaona malaya.Sis wabongo ni wanafik Sana.
Mavazi ya aina hiyo hapa nyumban si yanasababisha sauti itukauke kwa kulia kuhusu mmomonyoko wa maadili?
Iran sio nchi ya kiarabu.Waarabu ni wanafki
Umeshawahi kufika nchi gani happle middle east?Tazama picha ya kwanza na ya pili 🤣🤣🤣
Wapi umewahi kuwaona wanawake Wakristo wakitembea uchi bila sababu mfano wanataka kutuoa laana??Wakristo inawanogea saana wanawake wakitembea uchi!!! Ni kwanini eti? Vita yenu kwa wenzenu waislam ni juu ya kupiga marufuku kina mama kutembea uchi na ushoga,ila nyie mnapambana wanawake watembee uchi
Sihitaji kufika Iran kujua kuvaa Hijabu ni lazima au Saudi Arabia kujua kuvaa Hijab sio lazima.Wewe hujawahi kufika Iran bhana unaongopa kwa faida ya nani? Au kuongopa kwako ni tulizo la moyo?
Hata Saudi Arabia ukiingia kwenye mall utakutana na wanawake wanaotembea vichwa wazi.
Wewe ni kanjanja tu!Sihitaji kufika Iran kujua kuvaa Hijabu ni lazima au Saudi Arabia kujua kuvaa Hijab sio lazima.
Nazidi kuimarika mkuu... Classmate unaendeleaje?
Hapo anawakera au anajianika jinsi asivyo na akili kwa kuinesha maungo yake?Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Ninazidi kuimarika mkuu, asanteUshmen unaendeleaje na hali? Uliripotiwa humu kupata mushkel
Iran sio wa waarabu i wa persia . na ukitaka kukosana naye mwite mwarabuWaarabu ni wanafki
Unajifurahisha bure tu. Wanawake kibao wamekuwa wakitumiwa na mabeberu kutembea uchi ili kuchochea vurugu za kiraia lakini polisi wa maadili wamedili nao ipasavyo kwa kuchezea kichapo pamoja na kufungwa jela.Amechoka na unyanyasaji uliopo huko. Ameamua liwalo na liwe.
Na utawala wa Iran ukijichanganya kumkamata katika kipindi hiki ambacho kuna fukuto kubwa la Mgogoro kati yake na Israel na Washirika wake, Basi utawala wa huko Iran ujiandae kuangushwa na kuondolewa madarakani. Israel na Marekani wanaweza wakamtumia huyo Mwanamke kama 'Scapegoat' au trigger ya kuweza kuwahamasisha raia wa Iran ili kuukataa utawala uliopo huko Iran, huyo Mwanamke ni kama 'chambo' ili utawala wa Iran 'uingie mkenge' endapo kama utaamua kumkamata na kumtia misukosuko huyo Mwanamke.
Uhuru ni upi kwa tafsiri yako? Au huko kutembea uchi kama mbuzi kwako wewe ndiyo uhuru?Siku utawala wa maayatolljah ukianguka wananchi wengi wa iran watashangilia kwa vifujo na nderemo kufika kwenye zama mpya. Iran itakuwa nchi mpya yenye uhuru kamili kwa wananchi wake
Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uch
Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi