Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Sijui kwakweli ninachojua mwanaume awajibike Kwa mwanamke wake
Kwani mnaombwaga sh ngapi mnazolalamika hivo??
Ni vizinga vya kutosha kila inapoitwa siku mpya hata inafika wakati hatuvai tukapendeza ila nyinyi sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kila fashion mnapita nayo sio ya nywele magari nguo hata simu na nyumba kwa wadangaji konkodi...
 
Sijui kwakweli ninachojua mwanaume awajibike Kwa mwanamke wake
Kwani mnaombwaga sh ngapi mnazolalamika hivo??
Mimi kuna rafiki yangu alimtongoza mdada, akaombwa vocha ya tsh 500, jamaa akasema sawa ila akamwambia mdada aende akachukue ghetto iyo vocha, mdada hakwenda ghetto, na rafiki yangu hakutuma iyo vocha ya 500 Aaliyyah Leejay49
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Mambo yamebadilika sana vijana mmekuwa wa ovyo kujisifu umalaya kutongoza Ovyo kudate na wanawake wa Kila namna ndipo hapo mabint nao hawawazingatii wanawapiga vizinga vya kijinga Ili either mpate penz Kwa gharama au lah muondoke
 
Mimi kuna rafiki yangu alimtongoza mdada, akaombwa vocha ya tsh 500, jamaa akasema sawa ila akamwambia mdada aende akachukue ghetto iyo vocha, mdada hakwenda ghetto, na rafiki yangu hakutuma iyo vocha ya 500 Aaliyyah Leejay49
yani kumbe vizinga vyenyewe mnavyolialia ndo kama hivyoπŸ˜ƒ,, mwambie jamaa yako atafute hela kama anazo basi aache ubahiri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa uchi wa Mwanamke unaufananisha na PESA?
 
Tatizo linaanza hapo kwa mwanamke wake, maana nyie mna backup kibao so kidume huna uhakika upo mwenyewe.
Wee ebu jaribu kumpa kidume buku 20 uone inavyouma
Inaumaje 20K Kwa mtu naempenda na always ananisupport nitakuwa sinaakili backup zimetengenezwa na nyinyi
 
Na ndio maana siku hizi mahusiano imekuwa bahati nasibu sana kwenu. Wachache sana wanaolewa na kuwa na familia zao decent.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…