Hatari sana huko Bondeni....uhalifu ndio mahali pake.Hali ya usalama Afrika ya Kusini inatisha sana.
RIP msanii mwenzangu
Huyu atakuwa kazingua
Kifo hakikosi sababu
Ova
Huyu atakuwa kazingua
Kifo hakikosi sababu
Ova
Sio kama upo Unga Limited?South sio Africa. Huko kuchapana shaba ni kama upo States tu.
Itakuwa ni mambo ya visasi na girlfriend wake...
Wazazi wake bado hawaamini kama alijiua yule
Inasemekana alihusika na kifo kileItakuwa ni mambo ya visasi na girlfriend wake...
Wazazi wake bado hawaamini kama alijiua yule
Naomba nisijibu kituWadada huwa Hawa commit suicide au Ni dada ako yule
Kuna security gani itakayokukinga na headshot. Hata uwe na bulletproof you a dead man.Daaaah sijui kwann wanamxiki wanauwawa hivi loss of security ni shida sana ndo maana wakina jay z Beyonce kanye mark na matajiri wengine wameinvest sana kwenye security loooh 35 was still young r.i.p kamsalimie
🛫 Mzee
Organized Crime hio 🤣🤣🤣Ni maeneo yenye uhalifu sana au labda tu kaotewa,aisee SA sio mchezo
Kuna security gani itakayokukinga na headshot. Hata uwe na bulletproof you a dead man.
Sasa baunsa si anazimama nyuma ya mtu au??? Bodyguard mwenyewe kajeruhiwaa...! Daah apumzike kwa amani mwambaaa...Ndio maana wasanii wa bongo hutembea na mabaunsa