MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuriKwanini wewe huna uhakika? Kaanze kuangqliq clip za mwanzo kabisa zilizochukuliwa akiwa pembeni yabile daladala, ni kweli ilionyesha Hamza anaongea jambo! Pili fatilia taarifa ya kwenda Misri kusoma aliporudi alikuwa ana dhamira gani hasa tatu fikiria juu ya tukio lake na nne kabisa malizia ayo matamshi unayodhania sio ya kwake.
Kama alikuwa na msongo wa mawazo....kunaweza kisababisha akafanya chochote like...hujaona watu walio changanywa na maisha jinsi wanavyolitajja Jina la Yesu?!Huyo ni gaidi alikuwa anataja Allah Akbar
hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuri
Wakikujibu unitag.Kwanini AWAUE POLISI TU?
Kama alikuwa na msongo wa mawazo....kunaweza kisababisha akafanya chochote like...hujaona watu walio changanywa na maisha jinsi wanavyolitajja Jina la Yesu?!
Na kimsingi haya Makanisa ya Kiroho...ya Kina Gwaji Boy yamejaa watu Hawa!
Acha kichochea Udini!
Alah Akbar maana take Mungu ni Mkubwa!
Aliyechanganyikiwa /hawezi tamka hayo!
Tuache wenye mamalaka wafanye kazi hayo...Kama wakiamua kufanya!
Kama ulikuwemo kwenye akili yanguMwananchi litakuwa limekula mkwanja kusafisha familia ya gaidi na ukizingatia kaimu mkurugenzi wa mwananchi ni wale wale
Police ichunguze vyombo vya habari vinavyotwist na kutetea magaidi
hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuri
Hakika, yule alishaamua yaishe, kwanza kwa vyovyote zile bunduki zilikuwa na risasi chache sana,Walimpiga ya kichwa ili tusijue ukweli...ukweli wanaujua ndo maana wakaamua wamalize kesi pamoja na Hamza kusurrender...
Hakika ,yule alishaamua yaishe ,Kwanza kwa vyovyote zile bunduki zilikuwa na risasi chache sana,
Asingeendelea!
Kina mawili
1.Aidha Askari wetu hawana weledi ..kwa kiwa baada ya kupigwaa bomu la machozi wangeweza kabisa kumpata akiwa hai.
2.Waliamu makusudi kumuua kwa sababu Maalum
point ila hilo limtungi wagesi linaloisaidia Ccm kubaki kazini litakwambia mikusanyiko hapanaAnaagwa lini na wapi ..tufike kama wote yani
Sirro + udini.Kuna video ipo humu ilirekodiwa ndani ya ile daladala alioisahehe, ukisikiliza utajua kwanini kawalenga polisi. Wala sio kudhulumiwa hela.
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.
Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.
View attachment 1912045
Kati ya ya ao wanamfahamu waliwah kujua kabla kuwa anaweza kutumia machine kwa namna ile?hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuri
Watu wa media wanasubiri press conference ya jeshi la policeNaona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya alichofanya wameshajua.
Pia watu wa media mmeshindwa kabisa kupata watu waliokuwa ndani ya ile daladala na kuwahoji alichozungumza Hamza? Mambo yashakuwa tafrani.
View attachment 1912045
Kama Serikali Ina nia ya dhati kupata ukweli wa tukio hili Basi wangeunda tume hata tatu.Kuna mazito nyuma ya hili tukio tatizo wanaofanya uchunguzi wanaweza kuwa ndo wahusika wakuu