MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuriKwanini wewe huna uhakika? Kaanze kuangqliq clip za mwanzo kabisa zilizochukuliwa akiwa pembeni yabile daladala, ni kweli ilionyesha Hamza anaongea jambo! Pili fatilia taarifa ya kwenda Misri kusoma aliporudi alikuwa ana dhamira gani hasa tatu fikiria juu ya tukio lake na nne kabisa malizia ayo matamshi unayodhania sio ya kwake.