Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

Kwani bokoharam wale magaidi wa Nigeria huwa wanateka mtu yeyote au watu wowote?

Je huwa wanateka watu wazima na wazee?
Au wanatekaga mabinti wa Shule mara nyingi z?!

Kwa hiyo nao utasema si magaidi sababu wako selective?!



Mkuu kwa Hamza tunaongelea kuteka au kufanya shambulizi...hv kuna gaidi anafanyaga shambulizi selective yaani anawalenga watu fulani tu na wengine anawapita tu...Tena anawaambia kabisa endesheni magari au mnakimbia nn???Huyu gaidi ni wa kipekee Sana.
 
Acha watuchanganyie taarifa tu!
 

hili swala na story za mtani ndio utajua ni namna gani tuna kundi kubwa mtaani ambako akili za maingi kabisa zinakosekana kwao.
mtu anakwambia hamza aliporwa madini akaamua aue askari,aliporwa madini wapi!!hapo salenda au huko shinyanga!!!
kama ni hapa dsm nani aliona akiporwa na polisi kukimbia???maana mashahidi no 1 wote wamekufa!!

aliporwa na aliowaua,baada ya kuwaua madini aliyachukua au yaliachwa yamwagike hapo na maiti za askari!!!vipi raia hawakwenda kuyachukua??maana kulikua na nusu saa nzima kabla ya polisi kufika.

ilikuwaje hamza akavaa mabuti tofauti kama alikuwa timamu!!
 

huko sawa kiakili wewe.
 
Anayekunya ndio mwenye Mchakato wa Kujichamba, Sasa ni Juu yake abaki na Samadi Akiisigina au aisafishe, Out of [emoji320]
 

hata wale jamaa wa 2014 mpaka 2017 walikuwa wanaua polisi tu,lengo ni kiwazuga wajinga wajinga wasielewe kipi ni kipi na wapate kuungwa nao mkono.

maana mtu na stress zake akiskia polisi amekufa anashukuru na kumwona hamza kama shujaa.kumbe ni ugonjwa wa akili unamsumbua nayeye pia.
 
IGP kaelekeza lawama zake kwa wazazi wa Hamza...

Kwa lugha nyepesi ni kwamba polisi washakamilisha uchunguzi wao au walau wameanza kupata majibu ya maswali magumu...
 
hebu jiulize mujahidina anapiga picha na mademu? anapiga picha na pombe? anapiga picha yupo club anakula bata. hebu jiulize kwanini watu wote wanao mfahamu wanasema Hamza ni mtu mzuri

watu wote!!!!!

umesikiliza audio ya jamaa yule wa upanga!!anakwambia hamza aliishakuwa na mawenge huko nyuma hasa baada ya kutoka kusoma dini egypt,angalia hata picha anaonekana amevaa viatu pea mbili tofauti.
 
...Hamza aliporwa madini yake na waliyopewa dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zake. Ndiyo akachukua hayo maamuzi ya ajabu kwa hao jezi khaki...
Uliona wakati jamaa anaporwa; au na wewe ndio walewale wanaosoma udaku?
 


Hv wale wa 2014 to 2017 walikuwa wanakuja mjini Kati wanapora silaha na kuanza kuwashambukia polisi....na si kwamba walianza na wananchi polisi walipoingilia Kati ndo wakawa wanaua na polisi pia...ishu ya Hamza Kuna kitu nyuma si bure
 
Pia tujifunze Kwanini wale magaidi wa Nigeria bokoharam huwa wanapenda kuteka mabinti wa Shule tu badala ya kuteka watu mchanganyiko ikiwemo wanaume kwa wanawake bila kujali umri wala jinsia?
Mbona hawateki wazee? N.k
Ila wanaua kila mtu aliye mbele yao.. Au ulisikia wanateka tu mabinti ila kuua raia hawaui?
 
Je yale magaidi yaliyo kuwa yakishambulia pale stakishari na yenyewe yalitapeliwa dhahabu ?
Endeleen kuwa tetea majangiri na magaidi siku yatakapo wakuta ndio mta kapo lia kilio na kusaga meno
 
Hata kama ni msongo je kwanini awaue polisi tu? Au unataka sema polisi ndio walimuibia hizo 400mil??
Tena Polisi WA Dar, huko Makongorosi Chunya hakuna Polisi. Kashfa za Sirro Kwa familia ya Hamza inaonyesha kuna Jambo anaficha. Mnafiki mkubwa huyu.
 
Tena Polisi WA Dar, huko Makongorosi Chunya hakuna Polisi. Kashfa za Sirro Kwa familia ya Hamza inaonyesha kuna Jambo anaficha. Mnafiki mkubwa huyu.


Sirro si bure alipokea mtonyo wa hela iliyoporwa maana si kwa chuki ile...tukio afanye Hamza hasira uelekeze kwa wazazi wake??? wakati Hamza ni mtu mzima..upuuzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…