pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Kwani bokoharam wale magaidi wa Nigeria huwa wanateka mtu yeyote au watu wowote?
Je huwa wanateka watu wazima na wazee?
Au wanatekaga mabinti wa Shule mara nyingi z?!
Kwa hiyo nao utasema si magaidi sababu wako selective?!
Mkuu kwa Hamza tunaongelea kuteka au kufanya shambulizi...hv kuna gaidi anafanyaga shambulizi selective yaani anawalenga watu fulani tu na wengine anawapita tu...Tena anawaambia kabisa endesheni magari au mnakimbia nn???Huyu gaidi ni wa kipekee Sana.