Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Kama mwanasheria mkuu, tena jaji, ana uwezo wa kujibu kwa kina na kwa weledi, zaidi ya alivyofanya. Naona kajibu kwa namna hii ili kuwaridhisha waliomlazimisha aseme neno.
You don't know that!

Hujui kama ana uwezo na weledi huo. Ujaji na u Attorney General huo kapewa tu.

Hakuna mtu Tanzania anateuliwa chochote kwa merit, kwamba labda aliji distinguish kwenye fani yake huko nyuma, ana sifika kwa maadili au kama alikuwa jahi basi kuna judgement zake zilikuwa zimeenda shule... Hakuna kitu kama hicho kwenye teuzi za TZ...

kwenye utumishi wa umma watu wote ni sawa na yeyote muda wowote anaweza kuteuliwa kuwa chochote!

Feleshi kuwa AG, Jaji, Jaji Kiongozi, kwa Tanzania that don't mean shit!

Ni kweli lazima awe mouthpiece wa Rais aliyempa ugali lakini inawezekana uwezo wake pia ni mdogo, period!
 

Nina wasiwasi mkubwa sana kuhusu LNG. Wanasaini wiki mbili, tatu zijazo mkataba wa 42bn USD.

Mkataba umeharakishwa sana kama huu na umegubikwa na usiri mkubwa.

Naona bandarini inaweza kuwa cha mtoto. Huko ndio tutapigwa kwelikweli.
 
Hao wanaziba masikio tu, na akili yao inawatuma kuwa mtawafanya nini.
 
Ameamka baada kuambiwa bubu ? Hahaha kazi ipo bungeni alisinzia ? Mbona Ali mute ? Atupishe
 
Nimemsikiliza sijaamini kama ndiye mwanasheria mkuu wa nchi.
 
Ubaya hamko makini na madai yenu, watu wanasema wanapinga Makubaliano na wakatangaza kuandamana ila hakuna aliyejitokeza kuandamana.
Ukiwambia wanakasirika na kutoa matusi.


Binafsi naunga mkono uwekezaji wa Mwarabu
Kwani anayeupinga uwekezaji ni nani? Sijaona mtanzania hata mmoja anayepinga uwekezaji.JITAMBUE
 
Kwani anayeupinga uwekezaji ni nani? Sijaona mtanzania hata mmoja anayepinga uwekezaji.JITAMBUE
Hawana hoja tena, imebaki kushikilia hayo yasiyohusika. Sijui wanategemea nani ataamini upotoshaji wa namna hiyo tena.
 
ccm ana wabunge kibao ila kufanya mkutano mmoja wa siasa mpaka kila mtu apate buku tano ndio kidogo mkutano unakuwa na viwatu watu, chadema hata mia hatoi ila nyomi kama dunia.,sasa chama gani kimekufa?
Una hoja dhaifu sana
 
Mimi mtu akitoa hoja kama hii napenda na najibu hoja bila kushambuliana. Kwanza tunakubaliana hakuna shida na uwekezaji, wala sio hatuna shida na DP au angekuwa hata mwingine japo ulichosema sio wote wako wanashambulia watu kwa maeneo waliyotoka na wako wako wanaita kwa majina WAARABU kiujumla ni kama vile Tz hii haina waarabu na ni wa Tanzania 100%. Si sawa kama hukubalini na taasisi au kampuni kuita watu mabeberu, wahindi na mengine ni vizuri kuitaja specific hatukubaliani na DP, sasa hao wapinzani angalia kauli zao za chuki huko ni wazi sio hoja ila ni chuki. Rostam kamjibu DR Slaa sababu Dr Slaa kamshambulia kama Rostam badala ya kujikita kwenye issue na yeye kamjibu kama yeye, pili hao unaowaita hata CCM wanapinga ni sawa ni haki yao lakini mtu kabla hujapinga lazima ujuwe unapinga nini? wengi tunadandia kauli za kisiasa tu lakini pia wako wanaounga mkono sasa hatuwezi kukubaliana wote kikubwa majority win. Na wengi hao wana CCM wanaopinga ni wale hawana nafasi tena watu kama kina Warioba ni wazi kuna donge linawauma ndani ya CCM kama always yuko negative wakipewa nafasi tu wana switch utashangaa. Mimi ningependa kusikia ni nini object ya kuweka mwekezaji bandarini halafu tupime tutapata tunachotarajia? issue ya mikataba hatuwezi sote kusoma vifungu sio kazi kila mtu anaweza kufanya ndio maana hata mikataba yetu binafsi tu tunawapa wanasheria lakini leo kila mwanaharakati kama mwanasheria anakuja na tafsiri yake. mkataba utakuja baina ya TPA na DP wanasheria wao ndio wanapitia T&C kabla ya kusign lakini kuna watu wameshaamua wao hawataki, sasa wewe hutaki kama nani? wewe role yako hutaki ni siku ya kuchagua viongozi chagua chama unachotaka lakini CCM wako madarakani kwa ridhaa then wanahaki ku set tone. Kuna watu hawajui hata mchango kiasi gani bandari unachangia na changamoto zake lakini leo ukiwasikia utadhani ni expats. Mimi naunga uwekezaji 100%
 
Kwani Mbowe alibambikiwa kesi kipindi cha dhalimu, au ni kipindi cha mama wa kambo?
Hiyo kazi ya JPM na sio kabambikiwa kuna ukweli na kama ni Mama basi heshima yake Mama maana jamaa mwenyekiti wao kasota ndani walibaki kwenda kumtembelea tu huko ndani. Rais ana huruma tu akija mtu kama JPM au Mungu angempe maisha marefu tu hawa jamaa wangeimba kila nyimbo..
 
Dada yake lucas mwashambwa una matatizo aisee
Unajuwa nilikuwa nawaonea huruma wakati wa JPM nikidhani alikuwa tough sana lakini leo hii namuelewa kwanini alikuwa anafanya vile ukianza kumpiga nyani usimuangalie usoni na JPM alijuwa namna ya kupiga. RIP.
 
Kwani Mbowe alibambikiwa kesi kipindi cha dhalimu, au ni kipindi cha mama wa kambo?
Mama kaja kamtoa tu kwa huruma na kabla hajaenda kwa mkewe akaambiwa kaoge uje upige picha Ikulu na akaenda hizo kazi ya Chuma
 
Bavicha hamsikilizagi Hoja. Bandari imeuzwa hati kaitoa Mbowe
 
toka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribu
Nyinyi ndo mana hamapati kitu miaka yote wabinafsi sana. Ccm yoyote anakula ukifika muda wake, chadema mkipata nafasi mtarudisha makao makuu ya chama na maendeleo yote Machame. Hamtoboiiii 😆
 
toka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribu
Nyinyi ndo mana hamapati kitu miaka yote wabinafsi sana. Ccm yoyote anakula ukifika muda wake, chadema mkipata nafasi mtarudisha makao makuu ya chama na maendeleo yote Machame. Hamtoboiiii 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…