Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Wanawake wanafosi usawa kwenye kila kitu😃
Ila kiuhalisia hakunaga usawa kwenye mapenzi au mahusiano au ndoa
Eti utamsikia mwanamke anasema analipiza kisasi kisa mume wake kamsaliti

Anadhani anamkomoa mwanaume

Mwisho wa siku ni yeye na mbususu yake ndiye wanaojikomoa.

Mwanamke akicheat anaitwa malaya wanaume wanajipigia wanasepa. Unabaki unajiuliza kamuadhibu mwanaume au yeye ndio kajiadhibu
 
Sawa wewe una maoni gani kuhusu mada husika?
 
Mwanamke akikusaliti maana yake hakupendi tena na moyoni mwake amekutoa, hivyo mwanaume kumsamehe mwanamke msaliti hakuna tofauti na wewe mwanaume kulawitiwa alafu jamii ikajua kuwa umelawitiwa.

Mwanaume mwezako anapo mwingilia mwanamke /mke wako aliyekusaliti maana yake anakuingilia wewe mume wake kinyume na maumbile na huku mkeo anajua wazi.

Nb. Mwanamke msaliti hasamehewi haijalishi utachomwa na moto wa milele kwa kutokusamehe ila hakika usisamehe mwanamke msaliti . Unaposalitiwa na mwanamke maana yake umelawitiwa kwa kihuni wanasema ( #wafiku) wewe mwanaume.
 
Sawa wewe una maoni gani kuhusu mada husika?
Sawa nini?

Umeelewa nilichoandika?

Mwanamme ni nani kwanza? Anza kwa ku define hilo. With exactitude.

Usitumie uzoefu wa kuona watu wa kijijini kwako waliovaa suruali tu kuwa ni wanaume.
 
Mi kumsamehe anaecheat hadi nizae na mwanamke Mwingine
 
Na kama ni bahati mbaya kwanini ilipochomoka aliirudisha quman kwa mwendo wa ngiri mkia juu
 
Wanawake Mungu awabariki Sana....Sisi ukichear ni Sawa kwenda kulv makombo...
Piga tukio moja takatifu na hato kuja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…