Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Duh!

Haya ndo mambo ya they/ them, ze/zir, ey/em, n.k.

Ndo mambo ya ‘wanaume’ wanaokaa au kuchuchumaa wakiwa wanakojoa.

Itakuwa ni dalili ya ugonjwa wa akili tu.
 
Duh!

Haya ndo mambo ya they/ them, ze/zir, ey/em, n.k.

Ndo mambo ya ‘wanaume’ wanaokaa au kuchuchumaa wakiwa wanakojoa.

Itakuwa ni dalili ya ugonjwa wa akili tu.
Hata ugonjwa wa akili mbona kila mtu anao wake, tunapishana viwango tu.
 
yani nyie mnajiongelea fresh.
tukijiongelea sisi, mnakanusha mnataka mtusemee kinachoendelea akilini mwetu!

HAYENI!
 
Kiumbe anaitwa binadamu,ngumu sana kumtafsiri!

Mkikua mtaachana na hizi nadharia mnazoaminishana humu kila kukicha.
Miaka 10 ijayo utasoma hizi nyuzi zako utajiona vile ulivyokuwa unatumia nguvu nyingi kujiaminisha, kuaminisha , kuamini vitu ambavyo when it comes to ubinadamu wala hata havipo na wala hata havifanyiki hivyo unavyotamani iwe wala hata havina mashiko ya utendekaji.

Kwa sasa, keep on writing Champ!
 
Hakuna mwanaume anayesamehe na kusahau kwenye suala la kuchepuka kwa mkewe labda awe amepewa limbwata, lakini pia nayo huwa inaisha
Kuna wale tegemezi kwa wake zao au kwa lugha nyingine mwanamke ana uchumi mkubwa kumzidi mwanaume na unakaa kwake na hapo tunasemaje kitalaam!.
 
Kwa taarifa yako hata wanawake hatusamehi is ipo kuwa tunavumilia ili tulee watt lakin moyoni tunakaa na uchungu usiopimika yaani maumivu ya kusalitiwa ni makali sana ni vile wanaume mnahisi mko sahihi kuchepuka ukiona mkeo unamchepukia anajua haumii jua nae ana wakumchokonoa vizuuuri kwa hiyo hana cha kupoteza......maumivu ya usaliti ni makali sana kaka, ni vile wanaume wengi wanahisi wake zao hawana moyo, unanisaliti mara moja?,mbili, tatu, nne na kuendelea bado unahisi nna uwezo wa kusamehe??? Unahisi sina hisia?
 
waache waamini wanawake wana mawe vifuani
 
Umeongea kwa uchungu sana.

Hapo umesema; jua nae (mwanamke) ana wakumchokonoa vizuuuri

Unafikiri mwanamke akichepuka ndio atakuwa anamkomoa mwanaume msaliti?
 
Shida wanawake wakikusaliti hiyo ndio imetoka wanaamisha kila kitu kwa mwanaume mwingine.
Hata bible imesema mwanamke msaliti hasameheki
 
Mwanaume ukicheat lazima utachitiwa. Ipo hivyo hata mlalamike na kuwaita wake/wapenzi wenu wasaliti.
Mtenda hutendwa.
 
Nafikiri inategemea mna miaka mingapi kwenye ndoa, na mmeishije....assume unaover 50s utamuacha ?? Ngumu sana nakwambia
Kupata mke wa kufanana nawe namaanisha wa kukuvumilia madhaifu Yako ni ngumu, na kuzoeana pia ni ishu usifikiri ni rahisi kihivyo...it takes time...

Usifikiri hizi nyumba watu hawafumaniani, ingekua hivyo nyumba nyingi ndoa zingekua zimevunjika...!
Watu Wana mute tu, na ninakwambia hakuna binadamu perfect wote shida tupu SEMA tunavumiliana iwe kwenye kucheat au mengine..

Juzi Kuna ndugu Yako Yuko mkoan kamfumania mkewe meseji za mapenzi kabisa kuwa ana uhusiano Kila kitu lakini wamegombana wee mke karudi kwao then akaanza Kutafuta frem aanze biashara zake, baada ya wiki mbili mume akamfuata mkewe, mume uwezo anao mkubwa sana tu na madem wengine anao, hapa ninapoandika wanaendelea na maisha...

So usifikiri ni rahisi kiasi hicho....
 
Mimi haiko kwa mwanamke kucheat tu. Hat mimi nikifumaniwa nimecheat, Mahusiano ndo yanaishia hapo.

Hakuna kuomba msamaha, hakuna Kukubali msamaha, ni lazima tujifunze kulipa gharama za matenda & maamuzi yetu.

Yaani jitu lina cheat huko ili lije lianze kujiliza liza na kutoa kamasi kisenge senge ili ulisamehe, not from me.
 
Kihalisi wanawake wasaliti hufanya mambo ya ajabu sana ya kingono na wanaume wanaochepuka nao ambayo hawawezi kuyafanya na waume au wapenzi zao

Kama wangekuwa wanarekodi uone usingeruhusu hata akanyage ndani kwako
Kwa hili nakubaliana na wewe 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…