Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
Ndio maana kweli ndoa hazidumu; unadhani unaoa ili upate mpishi na muosha masufuria ?, Unasahau kwamba enzi za House Wife zimekwisha nyote mnatoka asubuhi kutafuta na kurudi mida ile ile..., kwahio kwa akili yako unadhani ukiwa top chef kama Alain Ducasse au Gordon Ramsay alafu sababu una mke utamuachia tu afanye yake wakati wewe una ujuzi kumzidi kwenye hio tasnia ?
 
Mm najitegemea binafc ni mwaka wa 3 huu, kiuchumi nipo vzr tu, Sina tatzo lolote la nguvu za kiume wala Sina historia yyte ya kuumizwa na mwanamke Ila "suala ndoa limenikalia kushoto"na nipo kwenye mahusiano na bitches kadhaa wanawake kila muda ninapohtaji nakula.

Kikubwa ninachopanga ni kupata watoto wangu kadhaa na mm niwe na historia ya kuitwa baba hp duniani

Nakuwa na furaha na Amani zaidi kuishi peke yng mpk ntakapoamua kupata watoto na furaha yng ndipo itakapokua imekamilika
Hao watt utapata na nani?
Ndio nyie mnatuongezea single maza ...
Na ambacho hujui malezi ya watt sio rahisi km unavyowaza
Kingine endelea kulala na Kila mwanamke madhara hutayaona sahivi ,mbele huko utayaona
 
Mwanamume anayeogopa kuo sio mwanamume kamili

Yani ana mapungufu na ndio maana anaogopa kuishi na mwanamke
Mimi sioni kwa sababu kuona kunakufunga uwe na mwanamke mmoja, sasa mwanamke mmoja wa kazi gani? Wanawake wote hawa warembo Duniani niwe nakula mwanamke mmoja pekee nimerogwa?

Nataka kila siku nakula mwanamke mpya naemtaka.
 
Ndio maana kweli ndoa hazidumu; unadhani unaoa ili upate mpishi na muosha masufuria ?, Unasahau kwamba enzi za House Wife zimekwisha nyote mnatoka asubuhi kutafuta na kurudi mida ile ile..., kwahio kwa akili yako unadhani ukiwa top chef kama Alain Ducasse au Gordon Ramsay alafu sababu una mke utamuachia tu afanye yake wakati wewe una ujuzi kumzidi kwenye hio tasnia ?
Yani Watoto wanalelewa na nani sasa kama Ke na Me wote wanaenda kazini kusaka faranga?

Madhara ya house maids kulea Watoto majumbani umeyaona jinsi yanavyotuletea panya roads mitaani?

Me hamuogopi jinsi pesa za Ke zilivyofungiwa sabufa "kelele kimasimango kwa Me"?

Au hujui hizo kelele zimetokana na nature baina ya Ke "Muolewaji/anayeongozwa kifamilia" na Me "Muoaji/Kichwa cha familia"?

"Me ale kwa jasho na Ke azae kwa uchungu". Me Kusaidiwa majukumu yake kiuwajibikaji katika ndoa na Ke ndiyo mwanzo wa HAKI SAWA "50/50" na Ke kuona Me sawa na mashosti wenziye tu.
 
Hao watt utapata na nani?
Ndio nyie mnatuongezea single maza ...
Na ambacho hujui malezi ya watt sio rahisi km unavyowaza
Kingine endelea kulala na Kila mwanamke madhara hutayaona sahivi ,mbele huko utayaona
Na hao Watoto wanaiga mifumo ipi ya maisha ya ndoa ikiwa wanalelewa na Mzazi mmoja pekee badala ya Wazazi wote Ke na Me ili wahamasike kuoa na kuolewa kwaajili ya maisha yao ya baadaye?
 
Yani Watoto wanalelewa na nani sasa kama Ke na Me wote wanaenda kazini kusaka faranga?

Madhara ya house maids kulea Watoto majumbani umeyaona jinsi yanavyotuletea panya roads mitaani?

Me hamuogopi jinsi pesa za Ke zilivyofungiwa sabufa "kelele kimasimango kwa Me"?

Au hujui hizo kelele zimetokana na nature baina ya Ke "Muolewaji/anayeongozwa kifamilia" na Me "Muoaji/Kichwa cha familia"?

"Me ale kwa jasho na Ke azae kwa uchungu". Me Kusaidiwa majukumu yako kiuwajibikaji katika ndoa na Ke ndiyo mwanzo wa HAKI SAWA "50/50" na Ke kuona Me sawa na mashosti wenziye tu.
Kwahiyo mkuu wewe utaki ke afanye kazi?
 
Kwahiyo mkuu utaki mambo ya kihind?
Hapana kwa kweli, pia tambua matokeo ya kupatikana kwa Mke Mwema na Mume bora ni kudra za Mungu kutokana na life style walivyokuwa wakilelewa na Wazazi wao maisha yao yote ya ndoa.

Inamaana usitegemee kuvuna ndizi mbivu kwenye shamba lililokuwa limepandwa mpunga, Wahenga husema "Mtoto wa nyoka ni nyoka" na Watasha husema "Like son/daughter like Father/Mother/Parents"
 
Hapana kwa kweli, pia tambua matokeo ya kupatikana kwa Mke Mwema na Mume bora ni kudra za Mungu kutokana na life style walivyokuwa wakilelewa na Wazazi wao maisha yao yote ya ndoa.

Inamaana usitegemee kuvuna ndizi mbivu kwenye shamba la lililokuwa limepandwa mpunga, Wahenga husema "Mtoto wa nyoka ni nyoka" na Watasha husema "Like son/daughter like Father/Mother/Parents"
Sawa tunatofautian mitazamo
 
Yani Watoto wanalelewa na nani sasa kama Ke na Me wote wanaenda kazini kusaka faranga?
Kwahio mmoja abaki nyumbani wale oxygen ? Maisha ya sasa ndivyo yalivyo ndoa ni kusaidiana ingekuwa nje watoto wakiwa wadogo mnapeana shift ya kulea; (na hii sababu huenda it cost more for a baby sitter kuliko hata mshahara wako kama ni duni)....

Zamani hadi huu Utamaduni mama ni wa kukaa nyumbani na kulea ilitokea kutokana na kwamba shughuli za kuwinda ziliwa more perfected na wanaume kuliko wanawake (ingawa kuna tamadanu za watu wa kule Denmark wote waliwinda na wote walienda vitani na wote walipigana, Tamaduni zao zilikuwa ni za kuvamia wengine na kuwanyanganya vitu vyao..., Sasa nikuulize wewe kama Mke wako ni Samia utataka abaki nyumbani alee watoto alafu Mikataba ya DP World atasaini nani ?
Madhara ya house maids kulea Watoto majumbani umeyaona jinsi yanavyotuletea panya roads mitaani?
Unadhani hao Panya roads ni zao la housemaids; kwa taarifa yako hilo ni zao la umasikini na marginalization na watu kukata tamaa ; Ulizia hao Panya Road kama wazazi wao can even afford Housemaids...

Tena I can argue watoto wa sasa wapo more civilized kuliko hata enzi zako wewe ujanani unadhani kupigana na kuitwa gangwe au mtaani kwamba wewe ndio mbabe ilikuwa ni sifa... (Time change kizazi cha sasa hakina mihemko zile za kukutana sehemu kupigana kuonyeshana ubabe wengine wapo kwenye simu zao wanachat au kusikiliza Tunes za wasanii (ambao na wao vijana waliojitafutia ajira) ; Let's not blame our shortcomings to the current generation..., Tulikuwa na mapungufu yetu na wao wana yao....
Me hamuogopi jinsi pesa za Ke zilivyofungiwa sabufa "kelele kimasimango kwa Me"?
Perspective..., Na kwa mtizamo huo huenda ukawa na inferiority complex ambayo inaweza ikavunja uhusiano wako mzuri na mwenzako ukadhani anakudharau sababu kipato kimepanda, kumbe ni wewe una-test kiberiti unamletea za kuleta sababu ni mwanamke akae kimya ili usimwambie amebadilika - Kwahio akipata ongezeko la kipato akatae ili asikuzidi ?
Au hujui hizo kelele zimetokana na nature baina ya Ke "Muolewaji/anayeongozwa kifamilia" na Me "Muoaji/Kichwa cha familia"?
Perspective na utamaduni wa sehemu husika; wenzetu wahindi pesa anashikilia Mama wala huwezi kufanya maamuzi makubwa bila kumuhisha...; Kwahio ukiamua vitu vidogo vikuendeshe kweli vitakuendesha
"Me ale kwa jasho na Ke azae kwa uchungu". Me Kusaidiwa majukumu yako kiuwajibikaji katika ndoa na Ke ndiyo mwanzo wa HAKI SAWA "50/50" na Ke kuona Me sawa na mashosti wenziye tu.
Huo ni kwa mtizamo wa nani na wapi ? Na binadamu wote wana mtizamo huo..... ?

Ngoja nikupe Case Study moja:

polyandry, marriage of a woman to two or more men at the same time; the term derives from the Greek polys, “many,” and anēr, andros, “man.” When the husbands in a polyandrous marriage are brothers or are said to be brothers, the institution is called adelphic, or fraternal, polyandry.

Conclusion: Things are not Black or White there are lot of Grey Areas
 
Kwahiyo mkuu wewe utaki ke afanye kazi?
Kazi za home tu ni mojawapo ya kazi tena si za kimchezo mchezo.

Ke alee Watoto wetu maana dunia ilipo Watoto wanahitaji uangalizi wa juu sana kimalezi kuliko enzi za Babu zetu.

Ke ni rahisi sana kujua matatizo ya Watoto na kuwadhibiti kimalezi kwa maombi ya kiroho na kuwajengea misingi bora ambapo Watoto hawataiacha hata watapokuwa Wazee "MITHALI 22:6"

House maids wapo wazuri kimalezi lakini tambua upendo wa Watoto kwa Mtu yeyote hujengwa kwa mahusiano ya mara kwa mara wala si kuwatimizia mahitaji yao yote kimalezi.

Usijeshangaa Watoto kadri wakuavyo wakawa na mapenzi ya dhati sana kimahusiano kwa urafiki na house maids kuliko Wazazi sababu hawakuwa na muda mwingi wa kukaa karibu na Wazazi zaidi ya kuonana nao asubuhi wanapoamka tu na jioni baada ya kutoka kazini au weekend.

Ikiwa Ke atapenda kufanya kazi basi itapendeza zaidi ofisi zake ziwe eneo la nyumbani kama ni duka la vyombo, hard warers, saluni ya kike, duka la chakula, hata kama ni mradi mkubwa lakini asiwe mbali na Watoto.

Kuepusha madhara ya LGBTQIA ni vyema kabisa Watoto walelewe na Ke/Mama maana si house maids wote ni wazuri tokana na changamoto za utandawazi/globalization.
 
Back
Top Bottom