Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Ukiwa huna Hela ukitoa mchango wa mawazo kwenye Kikao unaonekana msumbufu 😳 😳 inasikitisha sana.
 
Ni kweli ila kujiposition kuna umuhimu wake.
Kuna vitu vina thamani ya elfu 20 lakini unakuta unapatiwa kwa elfu 50 mpaka laki.

Ila ujana.....
Watu mnapelekana vichakani na sio kombolela πŸ˜€πŸ˜€
Ni matumizi mabaya pesa yani unapesa ya kunywa hennessy ukanywe visungura kisa kisungura kimejipozisheniπŸ˜‚
 
Dunia imekuwa katili sana, mtu anapimwa kwa materials, sio ubinadamu wake. Unfair sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…