Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
-
- #81
Upo sahihi mkuuNimezungumzia mwanamke anaye omba pesa ya pad, huyo kuanzia breakfast hadi dinner ni jukumu lako, nguo, house/room rent hadi vocha, hata kama pesa ipo inachosha.
Kikubwa wanawake wapambane, vijana sasa hivi hawataki mizigo. Suala la mahitaji madogo madogo hata mwanamke anapaswa kumletea mwenzake walau mara moja moja. Dunia imewapa kipaumbele sana wanawake kwa sasa tumieni nafasi.
Baby girl is here....Mambo yako haya...Ni kama ninyi mnavyosemaga ukiona mwanamke hakupi k muda wowote unaotaka ujue hakupendi kwamba lazima kuna mwamba anampa muda wowote anaotaka, sasa na wao wanatembea mule mule kwamba ukiona mwanaume hakupi hela muda wowote unaotaka ujue lazima kuna mwanamke mwingine huko anampa muda wowote anaotaka, maana huwa mnasema wenyewe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so wala msilaumu wanawake
kupata mke ni process inayohusisha hatua za awali ikiwamo hiyo ya kuhudumia kwa kiasi. Sidhani kama wanaohudumiwa wote wameolewa.Kwa mke, sio kwa mtu wa kufurahishana. Wajibu unabaki kwa baba yake hadi aolewe mkuu, usipende kuongilia majukumu.
A poor man acts rich to impress a woman, A rich man acts poor to test a woman...
Mimi ni mlezi wa vijana kitaa, huwa nakutana nao kudodosa changamoto wanazokutana nazo kimaisha na namna ya kukabiliana nazo na hasa mahusiano wananiambia mambo mengi sana mpaka hata watu wazimaa wanavyowapa tips ili watembee naoUpo sahihi kbsa mkuu,kumbe unawaelewa Hawa viumbe
Mzazi ndio ana jukumu la kuhakikisha binti yake anapata mahitaji ya msingi, bf anaweza ku-top up kila anapojisikia, ila sio jukumu lake kuhudumia mtu asiyekuwa na uhakika na future nae. Tatizo mnawapa vijana wa watu majukumu yasiyowahusu.Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Kweli kbsa mkuu, Yaani anamfanya mwanaume kuwa kiteka uchumi chakeKuna mademu akipata mpenzi tu basi anajiona ndio kama vile amepata ajira.
Unawapinga[emoji23][emoji23]Timiza wajibu wako kama mwanaume
Narudia tena, kuhudumia mwanamke ambaye hamjafungamana kwa lolote ni upotevu wa rasilimali, jukumu la kuhudumia ni la baba yake tu, wewe unaweza kumsaidia kidogo, tena kidogo mkuu. Resources zako zielekeze mahali sahihi, hutajuta uzeenikupata mke ni process inayohusisha hatua za awali ikiwamo hiyo ya kuhudumia kwa kiasi. Sidhani kama wanaohudumiwa wote wameolewa.
Huko kumsaidia kitaalamu kimahusiano ndio kumhudumia mkuuNarudia tena, kuhudumia mwanamke ambaye hamjafungamana kwa lolote ni upotevu wa rasilimali, jukumu la kuhudumia ni la baba yake tu, wewe unaweza kumsaidia kidogo, tena kidogo mkuu. Resources zako zielekeze mahali sahihi, hutajuta uzeeni
Kama bado unatoka na demu anayehudumiwa na wazazi una safari ndefu sana mkuu...hata siwezi kubishana na weweSasa Mimi nikununulia pads kazi ya wazazi wako itakuwa gani?
Vipo vitu ambavyo naweza kukusaidia navyo Lakini vingine Kama hilo la pads hapana kwa kweli
Sijawasapoti na sijawapinga ila ni maoni yanguUnawapinga[emoji23][emoji23]
We Mmama wa Dar tulia linda ndoa... wachana na Vivulana vijinga!Wavulana wa Dar ndio maana mpo busy kujifananisha na wasichana wenu,
Ujinga ujinga tu.
Sijasikia unasemaje mkuu 🦻Narudia tena, kuhudumia mwanamke ambaye hamjafungamana kwa lolote ni upotevu wa rasilimali, jukumu la kuhudumia ni la baba yake tu, wewe unaweza kumsaidia kidogo, tena kidogo mkuu. Resources zako zielekeze mahali sahihi, hutajuta uzeeni
Hapo kwenye kutop up hapo ndyo mada ya leo mkuu...vijana wanakwepa kabisa suala la top upMzazi ndio ana jukumu la kuhakikisha binti yake anapata mahitaji ya msingi, bf anaweza ku-top up kila anapojisikia, ila sio jukumu lake kuhudumia mtu asiyekuwa na uhakika na future nae. Tatizo mnawapa vijana wa watu majukumu yasiyowahusu.
umepata mwenza kumbemshamba_hachekwi unacheka nini sasa?