Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Unajua kabisa nikikiwasha patachafuka humu sinaga haya wakati wa kushusha vyuma.. Ni baada ya ban ndo nikajua upuuzi wa matusi haunifanyi nionekane mjanja bali nakuwa na sifa mbaya
Ungeshusha mi mwenyewe nna matusi mapya nilitaka ku upload kwako..!! 😹

Kutukana ilikuwa enzi hizo sasa hivi unaonekana kichaa tu umechanganyikiwa na maisha..!! 😹

Na mods wa safari hii hawataki ujinga ajira mpya wanatoa ban bila kukusikiliza oohh..!!

Sema ban zimewanyoosha sana 😹
Hivi mngekuwa ndio mimi kipindi hiko nakula ban ndani ya ban si ungekufa wewe??
 
Ubaya ni kwamba mimi nikila ban naona ujinga kufungua email nyingine kisa jf

Pili kuhusu matusi mimi sijifunzi, ubongo wangu unavinasaba na hayo so namshukuru Mungu kuniponya

Toka nimeacha kutukana naona akili imefunguka, hata wana jf wanaona kabisa nimerudi katika potential yangu..

Daah na hukupona mpaka leo unaona ban fresh tu sio...
 
Wewe si umeni tukana huko juu?
Sijui unanionaje vile mwanahidaya
Kafute mwenyewe comment yako kabla sijamuita Max na crew yake..!! 😹😹

Alinipa ubalozi wa kusimamia watukana matusi humu..!!
 
Kafute mwenyewe comment yako kabla sijamuita Max na crew yake..!! 😹😹

Alinipa ubalozi wa kusimamia watukana matusi humu..!!
*** it siogopi unafikiri nimekuwa mpole eti?
 
😹😹😹 Wewe uone uvivu kufungua email wakati una kijiji cha id ni ku switch tu..!!

Hujabadilika unaogopa mods na watu humu 😹

Mimi niliacha ila ukija nikiwa na mood la tandale aahh mbona tunakesha.. na ugomvi wangu unaamuliwa na mods tu..!!
 
Kweli huogopi?
Usije kuichukulia poa, mimi bado nipo vile vile ila nina ustaarabu tuu

I don't give a shit, ila ni kupigwa ban utaihama jf nakwambia... Nitakurudia na matusi yote niliyo yamezea
 
Si ogopi na sijawahi kuogopa kiumbe chochote, tena baada kujua ukweli kuhusu dunia na uhalisia wa mambo.. Hakuna ninacho ogopa.
 
Usije kuichukulia poa, mimi bado nipo vile vile ila nina ustaarabu tuu

I don't give a shit, ila ni kupigwa ban utaihama jf nakwambia... Nitakurudia na matusi yote niliyo yamezea
Wameshindwa kunihamisha vichaa kukuzidi wewe ndio unihamishe wewe ponjoro 😹😹

Jitahidi matusi yako yawe mapya sasa sio unameza matusi yamejaa km una pacha tumboni kumbe ujinga mtupu..!!
 
Nakimbia aibu ndogondogo mkuu, mtu mwenyewe anatokea Tanga, ukienda na itikadi za Makete utatia aibu.
Makete was necessary 😥😹😹

Sasa Tanga si ndio kwenyewe huko wanapetipeti..!!
 
Wameshindwa kunihamisha vichaa kukuzidi wewe ndio unihamishe wewe ponjoro 😹😹

Jitahidi matusi yako yawe mapya sasa sio unameza matusi yamejaa km una pacha tumboni kumbe ujinga mtupu..!!
HIvi wewe boyfriend wako anaraha kweli?

Maana una behavior kama ya Giggy Money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…