Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
🤣🤣🤣🤣Ni kwelitujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha
Changamoto ni kitu yakukimbilia kweli[emoji1787]Kwanini Ukimbilie changamoto?? Ni ngumu sana kukaa na binadamu ambaye kwa miaka 20 - 25 nyuma kaisha jijengea itikadi, falsafa na mitazamo yake, unakutana nae ukubwani unataka umbadilishe hilo sio jambo jepesi, kutokana na hali ya mtindo wa maisha kwa hivi sasa suala la kupata mtu utakayeishi nae miaka yako yote iliyobakia hapa duniani ni mtihani, zamani wazee wetu waliweza kwa sababu maisha ya kijamaa yalifanya muingiliano wa kijamii kuwa suala rahisi na ilikua ni rahisi kufahamu mienendo ya watu wa familia fulani, leo hii mtu unakutana nae mjini au kazini hujui hisyoria yake wala ya familia yake unajivika mabomu na kwenda kumuoa akianza kukuletea vitimbi unageuka Motivation Speaker.
YESU KRISTO NI MWANAUME AU MVULANA KWA TAFSIRI YAKO. TUANZIE HAPOUkiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.
Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.
TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
Leo nilienda shop fulan jamaa kaenda na manzi basi jamaa inaonekana kaenda kujimwambafai anamwambia nunua chochote aisee ile manzi si ikaanza kununua vitu vya gharama ya juu, yaan vitu vya gharama ya kawaida vipo Ila manzi ikawa inalazimisha kununua vitu vya gharama ya juu hadi yule muuzaji akawa anacheka maana manzi alikua anamkomoa jamaa, nikasema ndio mtu anasema Ndoa sijui fyoko Ndoa wanawake wenyewe ndio km hivi tpuuuuuuuMkuu maisha magumu, vijana tunashindia mo extra na maandazi ya bakhressa...
Sasa kuishi na mwanamke angalau uwe na uhakika wa Milo 2 Kwa siku ,Bado tunajitafuta ,serikali umesema tujiajili ,familia zinataka tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha
Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...
Hiyo ni Toxic PositivityRobert Heriel anasema oa hata kama huna hela ya Kodi[emoji23]
Naona mmeanza kuchanganyikiwa! Kama hizo ndoa zina maana sana si mkomae wenyewe! Kwani lazima kila mwanaume aoe!? Nnachoona hapa mnatamani sote tuingie kwenye hilo janga ili uwe msiba wa wengi! Komaeni na ndoa zenu, msitupangie maisha.Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.
Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.
TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
Waambie hao madogo wavuvu wa fikraUkiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.
Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.
TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
Wanasema kuuliza si Ujinga. ILA HII HAITOI KIBALI CHA KUULIZA MASWALI YA KIJINGA.YESU KRISTO NI MWANAUME AU MVULANA KWA TAFSIRI YAKO. TUANZIE HAPO
Tunaishi na wanawake ila kufunga ndoa no kubwa.Mkuu maisha magumu, vijana tunashindia mo extra na maandazi ya bakhressa...
Sasa kuishi na mwanamke angalau uwe na uhakika wa Milo 2 Kwa siku ,Bado tunajitafuta ,serikali umesema tujiajili ,familia zinataka tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...