Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.
Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.
TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.