Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.

Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.

Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.

TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
 
Mkuu maisha magumu, vijana tunashindia mo extra na maandazi ya bakhressa...

Sasa kuishi na mwanamke angalau uwe na uhakika wa Milo 2 Kwa siku ,Bado tunajitafuta ,serikali umesema tujiajili ,familia zinataka tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha [emoji3][emoji3][emoji3]

Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...
 
tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
🤣🤣🤣🤣Ni kweli
 
Tunyuzi twa kuwasema wasio taka ndoa tumekua twingi, fun enough ni kwamba tote tunaandikwa kwa kupanic. Kama wew unataka ndoa bs hayo ni maamuzi yako wew, na asietaka ndoa ni maamuzi yake yeye regardless uzito wa sababu yake.

Kila mmoja aishi yake anayo ya admire to the fullest. Hakuna sheria inayo lazimisha kuoa. Na kituko ni kwamba mnaleta nyuzi za kukejeli na kudhihaki maamuzi yao badala ya kuwashauri na kuwapa reasonable facts za kwa nin ni vizur na muhimu kwao kuoa. Msijifanye mna enjoy sana huko ndoani.
 
Kwanini Ukimbilie changamoto?? Ni ngumu sana kukaa na binadamu ambaye kwa miaka 20 - 25 nyuma kaisha jijengea itikadi, falsafa na mitazamo yake, unakutana nae ukubwani unataka umbadilishe hilo sio jambo jepesi, kutokana na hali ya mtindo wa maisha kwa hivi sasa suala la kupata mtu utakayeishi nae miaka yako yote iliyobakia hapa duniani ni mtihani, zamani wazee wetu waliweza kwa sababu maisha ya kijamaa yalifanya muingiliano wa kijamii kuwa suala rahisi na ilikua ni rahisi kufahamu mienendo ya watu wa familia fulani, leo hii mtu unakutana nae mjini au kazini hujui hisyoria yake wala ya familia yake unajivika mabomu na kwenda kumuoa akianza kukuletea vitimbi unageuka Motivation Speaker.
 
Hakuna anaeogopa majukumu mkuu,mbona kama huduma tunatoa hata kwa hawa wa mtaani....

Tunapinga ndoa kwasababu hatutaki MANYANYASO,DHARAU,VIFO VYA KIPUMBAVU,FEDHEHA,KASHFA,UTUMWA,KUROGWA,MAJARIBU NA KUFUNGWA JELA

Kijana kataa ndoa,kataa utumwa ishi maisha yako...
 
Kwanini Ukimbilie changamoto?? Ni ngumu sana kukaa na binadamu ambaye kwa miaka 20 - 25 nyuma kaisha jijengea itikadi, falsafa na mitazamo yake, unakutana nae ukubwani unataka umbadilishe hilo sio jambo jepesi, kutokana na hali ya mtindo wa maisha kwa hivi sasa suala la kupata mtu utakayeishi nae miaka yako yote iliyobakia hapa duniani ni mtihani, zamani wazee wetu waliweza kwa sababu maisha ya kijamaa yalifanya muingiliano wa kijamii kuwa suala rahisi na ilikua ni rahisi kufahamu mienendo ya watu wa familia fulani, leo hii mtu unakutana nae mjini au kazini hujui hisyoria yake wala ya familia yake unajivika mabomu na kwenda kumuoa akianza kukuletea vitimbi unageuka Motivation Speaker.
Changamoto ni kitu yakukimbilia kweli[emoji1787]

Robert Heriel anasema oa hata kama huna hela ya Kodi[emoji23]
 
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.

Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.

Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.

TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
YESU KRISTO NI MWANAUME AU MVULANA KWA TAFSIRI YAKO. TUANZIE HAPO
 
Mkuu maisha magumu, vijana tunashindia mo extra na maandazi ya bakhressa...

Sasa kuishi na mwanamke angalau uwe na uhakika wa Milo 2 Kwa siku ,Bado tunajitafuta ,serikali umesema tujiajili ,familia zinataka tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...
Leo nilienda shop fulan jamaa kaenda na manzi basi jamaa inaonekana kaenda kujimwambafai anamwambia nunua chochote aisee ile manzi si ikaanza kununua vitu vya gharama ya juu, yaan vitu vya gharama ya kawaida vipo Ila manzi ikawa inalazimisha kununua vitu vya gharama ya juu hadi yule muuzaji akawa anacheka maana manzi alikua anamkomoa jamaa, nikasema ndio mtu anasema Ndoa sijui fyoko Ndoa wanawake wenyewe ndio km hivi tpuuuuuuu
 
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.

Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.

Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.

TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
Naona mmeanza kuchanganyikiwa! Kama hizo ndoa zina maana sana si mkomae wenyewe! Kwani lazima kila mwanaume aoe!? Nnachoona hapa mnatamani sote tuingie kwenye hilo janga ili uwe msiba wa wengi! Komaeni na ndoa zenu, msitupangie maisha.
#NDOANIUTAPELI
#KATAANDOA
 
Kila nikimkumbuka Mzee Mengi, Mrema na Msuya nahisi kutetemeka! Nikikumbuka majanga ya ndugu zetu (Manara na Dr. Mwaka) ndo kabisa...nitamtia vibao atayeniletea habari za kuoa.
Kama ndoa ina maana sana oeni nyie inatosha.
"Ukiona mtu mweusi anakuitia fursa ogopa sana"
#KATAANDOA
 
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.

Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua.

Kila mara magari yanapata ajali na kuua. Hatujaacha kuendesha magari?wanaume hupambana na wakati mwingine ktk mazingira magumu sana HAWASUSI.

TUVIJAN TWA MIAKA HII tunaogopa majukumu ya baba na mume ndo maana tunakimbia ndoa kwa visingizio vingi.
Waambie hao madogo wavuvu wa fikra
 
Hatukimbii changamoto ndoa ili iwe ndoa mfumo dume lazima utumike , haki sawa kwenye ndoa ni ukandamizaji mkubwa kabsa , tunataka sheria za ndoa zinazoeleweka ndio tufunge ndoa , ila kwa sheria zilizopo kataa ndoa kabsa.
 
Mkuu maisha magumu, vijana tunashindia mo extra na maandazi ya bakhressa...

Sasa kuishi na mwanamke angalau uwe na uhakika wa Milo 2 Kwa siku ,Bado tunajitafuta ,serikali umesema tujiajili ,familia zinataka tujitafutie ,kiufupi tumepewa jezi tuingie uwanjani na mchezo hatujaujua tunakula ndoigeee za kutosha [emoji3][emoji3][emoji3]

Wanawake mwanzo anakuja na biti za nitakuvumilia ,hata ugali dagaa nitakula ,baadae anakugeuka anaanza kukuona hutafuti ,anaanza kukulinganisha na wanaume wenye pesa ,anakuacha ...
Tunaishi na wanawake ila kufunga ndoa no kubwa.
 
Back
Top Bottom