Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Atakae muoa atajuta..ni pasua kichwa
Hajielewi kama anastahir kuolewa,
Ukiwa nae anataka awe pia na mawasiliano na x wake na maboy wa kutosha.
Ukimpata huyo we kula na usepe..ukimbeba et uoe utajuta kudadek
 
Actually sikuifikisha huko kutatuliwa bali kuvunjwa sasa naona wamenigeuzia kibao.
Narudia, never trust watu wa makanisani au msikitini. Mzinzi kamwe hawezi kutatua suala la ndoa, sana sana watakushawishi usimwache mkeo ili uishi naye na mwisho wa siku wampige miti wao kwa jina la dini.
 
Mkuu, kwenye huu uzi sija comment ila nimemuelewa sana huyo padre! Suala la kupatana ndani ya ndoa ni lenu wawili, ukishindwa kupatana mkiwa wawili, mchango wakupatanishwa na kikao cha watu wa nje ya ndoa yenu ni mdogo sana!
 
Hakika maamuzi ni yenu wawili.Akaongeza mumeo akikuletea watoto wa nje njoo hapa nna cha kukwambia utamsamehe na mtazeeka pamoja na mtakuja kanisani mmeshikana mikono kama hakuna lilitokea.
 
Hakika maamuzi ni yenu wawili.Akaongeza mumeo akikuletea watoto wa nje njoo hapa nna cha kukwambia utamsamehe na mtazeeka pamoja na mtakuja kanisani mmeshikana mikono kama hakuna lilitokea.
Safi sana, huyo padre inaonekana ni mkweli sana!
 
Achana nae huyo hakufai Tena chamsingi tafuta mwanamke mwingine umwoe hata kwa ndoa za kimila
 
Mungu alitofaut
Pole unaonekana na wewe uliachwa kwa tabia kama za aliyekua mke wangu
Hukuoa mke umeoa shida sie wake za watu bado tunahema nawanaume zetu na chama chetu cha wachagaa bakia wewe kuoa mabarmaids tu ukimaliza tz nenda kenya .

Ila utachonga sana mimi nimekuwa sina muda na shida zako.
Pambana na hali zako acha nuksi
 
Tatizo mmeingiza masuala ya ndoa kwenye himaya ya viongozi wa dini

Ndoa ni kati ya wewe na mkeo ya nini kuwashirikisha viongozi wa dini?

Viongozi wa dini wanahusika na masuala ya kiroho na ndoa ni suala la kimwili chukua maamuzi yako kama mwanaume amua mustakabali wa maisha yako
 
Mke amekomaa na hawara tu? Labda hupigi kazi vizuri jomba, tatizo liko hapo.
 
Mke amekomaa na hawara tu? Labda hupigi kazi vizuri jomba, tatizo liko hapo.
Hilo nalo neno, tunaweza kuwa tunamtukana mke, kumbe huko ndani tia maji tia maji, wanawake wanavumila sana hayo mambo
 
Hakuna ndoa ngumu Kama hizi za kikatoliki, kwenye ndoa yangu ntaweka saini na pensel ctaki ujinga Mimi.
 
Hilo nalo neno, tunaweza kuwa tunamtukana mke, kumbe huko ndani tia maji tia maji, wanawake wanavumila sana hayo mambo
Kitendo cha mwanamke wake kung'ang'ana na hawara kila wakati, kuna jambo hapo. Ndoa ni kama TAALUMA nyinginezo, WELEDI ni muhimu sana.
 
Kitendo cha mwanamke wake kung'ang'ana na hawara kila wakati, kuna jambo hapo. Ndoa ni kama TAALUMA nyinginezo, WELEDI ni muhimu sana.
Kuishi mke/mme ni taaluma kubwa asikwambie mtu, huende huyo mkuu hanaga muda wakukaa na mkewe akijaza vyakula ndani basi kamaliza sasa mchepuko unapata nafasi ya kum care mkewe ha ha ha!
 
Mkuu pole sana kwa majanga ya usaliti wa ndo yaliyokupata. Inaumiza sana. Lqkini hilo swwla la uasherati ndani ya ndoa na namna ya kudeal nalo limeelezewa vzr sana kwenye Biblia. Nadhani kwa wakristo, Biblia ndio muamuzi wa mwisho na sio kitu kingine. Hebu tuone biblia inaswmaje kuhusu uzinzi kwa wanandoa.

Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mt 19:9 SUV

Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Mt 5:31‭-‬32 SUV

Imesisitizwa tena mara mbili kwenye kitabu cha Mathayo, na Yesu mwenyewe kwamba, hairuhusiwi kumuacha mwenzako wa ndoa, kwa namna yeyote isipokuwa kwa UASHERATI...

Pole sana kwa majanga, Mungu qkuongoze kwenye kufanya maamuzi sahihi.
 
Kuna falsafa moja huwa naikubali sana! " Ukishapata mchumba kabla hujamuoa,kwanza muoe mama yake" hapo umemaliza kila kitu.Kitakachoendelea ni wewe mwenyewe kusuka au kunyoa.
Sisi watu wazima tumekuelewa vzr sana mkuu
 
Kwa tabia hii make wangu ni bora kuliko wewe.... Alafu wachaga atupo na attitudes ka zako
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…