Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Usisingizie dini mkuu..
Andiko la Biblia linasema kuna sababu moja tu inayoweza kuhalalisha talaka, UZINZI. Wewe umekwama vipi?

Mathayo 19:9
Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
 
Kwa hio unataka kusema watu wavulimilie kugongewa au
 
Ndugu najua mahakama ndio inayotoa talaka ila nilichokua nataka ni kupata uhalali kikanisa ili niweze kufunga ndoa tena kanisani hapo baadae.... Ila last option utakua hiyo

Ukisubiri kanisa likuamulie kumuacha mkeo unaweza jikuta miaka hata kumi imepita mnavutana tu,kanisani hawatoi maamuzi kirahisi hivyo,ni wewe kuamua kama una ushaidi wa kutosha nenda mahakamani.
 
Kwa hio unataka kusema watu wavulimilie kugongewa au
HAPANA..
Soma vizuri!
Maana ya andiko hilo ni kuwa huwezi kuacha mke isipokuwa kwa sababu ya uzinzi/ uasherati.
Mke mzinzi ni ruksa kuachana naye.
 

Ni kweli kabisa akikomaa na kanisa ndio wavunje ndoa atashangaa uzee unakutia hapo anadai talaka...
 
Ninachojua, mahakamani lazima watakurudiaha Kwa viongozi wa dini, wajiridhishe ndipo wataandika talaka.

Hata Bibilia inaruhusu talaka kwenye uzinzi. Yaani ugundue kabisa anatoka nje ya ndoa, ukishindwa kusamehe uko huru kumpa talaka. Viongozi wengine wa dini wanashindwa tu kuitafsiri vizuri Bibilia.

Ila Bib
 
Sijaelewa!

Kibiblia mke akiwa mzinzi unamuacha sasa wewe alishakiri kuwa ni mzinzi na sauti ukazinasa akikiri ukawasikilizisha hao unaowaita viongozi nashindwa kuelewa unakwama wapi kujenga hoja zako mbele ya hiko kikao chenu cha usuluhishi?

Unless useme bado huyo mal.aya unampenda wewe mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…