Huyu ameshindwa kujenga hoja zake vizuri ktk imani ya Kikristo hakuna kulazimishwa kuishi na mwanamke aliyeshakiri uzinifu na anasema kabisa alim-recod huyo mkewe akikiri huo ujinga na akawasikilizisha hao viongozi.Hiyo Dini ya kikuristo paka leo sielewi utanilazimisha je ni ishi na mwanamke mzinifu, ataukiwa wewe ni Yesu mwenyewe katika hilo swala nta kugomea tu.
Pole mkuu. Kikanuni za kiroho kulingana na biblia agano la ndoa yenu tayari limeshavunjika baada ya aliekuwa mkeo kuzini. Taasisi zetu za kiimani zimeweka utaratibu wa kutovunja ndoa ili kuepusha madhara ambayo hutokea na kuathiri sana wahusika na watoto plus kuwafanya watu wawe atleast na hofu ya kutomess up kwa sababu ya hicho kifungo cha kutoruhusiwa kuoa unless mke au mume amefariki.Wasalam!
Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi.
Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na make wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake.
Haya mambo ndio maana vatican inajaribu kufanya marekebisho ya ibara ikiwezekana hata padre aweze kuoaWatu wa dini wanawashika sana akili sasa huruhusiwi kuoa kwani wenyewe ndo waowaji..?
😂
Upuuzi kama huu haufai mambo mengine yaajabu tu!,kuna maamuzi mengine hutakiwi hata kushirikisha watu amua kwa usahihi unaouona atakaekuja kuhoji alistahiri mwambie asipoelewa shauli yake!.
Hizo imani zina elements nyingi za ujingaNdo imani tulizozikuta na kuzikubali wenyewe tutafanyaje sasa
Jamaa he sounds like bado anampenda bado huyo mwanamama,nimepita ktk JF profile yake ana thread kama nne ameshusha mashairi ya kutosha kwa mkewe kuhusiana na hili jambo.Ingenitokea mimi mbona ningeenda piga kiberiti hilo kanisa nione kiwango cha mchungaji kuhimili maumivi ni cha level gani
Yapo makosa ya kusamehe ila sio kwa swala hilo, yaani point ya kuanza kufikiria tu kuweka kikao kutafuta suluhu ni one of the wrong move
Haya ndio maoni ya viongozi wa dini ambayo hapa tumeyakataa kwasababu yanafuga ubovuNi kumuomba tu Mungu.
Itakuwa kweli kwasababu kosa alilofanya mke wake lipo katika standard za juu na ni ngumu kuvumilikaJamaa he sounds like bado anampenda bado huyo mwanamama,nimepita ktk JF profile yake ana thread kama nne ameshusha mashairi ya kutosha kwa mkewe kuhusiana na hili jambo.
Ana mahaba mazito bado na huyo mzinzi acha akenue kenue meno ampige tena tukio lingine akili imkae sawa.
Mchungaji aliyekua amani shughuli kua swala langu alikua ashalimaliza shida amehamishwaMbona kuna mwana ameoa juzi tu.kanisani kwa ndoa ya pili baada ya kwanza kupata misukosuko kama yako.
Mi nadhani inategemea nawachungaji watakaohusika na hilo jambo
I got you dude!Uhalali kikanisa sio rahisi!
We pata divorce yako kwanza uone km unashindwa kufunga ndoa !
Achana na hizo habari za kanisa, watakupotezea muda!
Mungu ndio mhimu sio kanisa
You nail it dudeJmn kumsamehe mtu ni lazima(kabisa Mungu kaagiza na ni nzuri kwa afya yako pia),ila haimaanishi kuwa ukimsamehe lazima urudiane nae,hapana!
Hebu ngoja nikujie pm wewe unaniangusha sana
Jamaa una hasira saana... Kumpenda hapana mkuu... Sio kama nimefeli mchakato bado unaendeleaSijaelewa!
Kibiblia mke akiwa mzinzi unamuacha sasa wewe alishakiri kuwa ni mzinzi na sauti ukazinasa akikiri ukawasikilizisha hao unaowaita viongozi nashindwa kuelewa unakwama wapi kujenga hoja zako mbele ya hiko kikao chenu cha usuluhishi?
Unless useme bado huyo mal.aya unampenda wewe mwenyewe!
Sure we misuse it....haswa kwa wasio na hofu ya MunguPole mkuu. Kikanuni za kiroho kulingana na biblia agano la ndoa yenu tayari limeshavunjika baada ya aliekuwa mkeo kuzini. Taasisi zetu za kiimani zimeweka utaratibu wa kutovunja ndoa ili kuepusha madhara ambayo hutokea na kuathiri sana wahusika na watoto plus kuwafanya watu wawe atleast na hofu ya kutomess up kwa sababu ya hicho kifungo cha kutoruhusiwa kuoa unless mke au mume amefariki.
Biblically uko huru toka kwenye agano la ndoa ila kitaratibu za taasisi zetu za kiimani na sheria za nchi bado mko bounded.
Again, pole sana mkuu. Ndoa is meant to be such a precious thing and beautiful journey to experience the gift of love given to mankind. Sadly, We just misuse it.
Katika ndoa pakiwa na mpumbavu mmoja ndoa ni jeneza lenye kutuWakati wengine wakipata shida hii wengine hawapewi unyumba na mwanamke kisa kachoka ndoa chanzo Cha magonjwa na umaskini