Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Kila maamuzi hutegemea na mazoea yako...Mimi ni Church man so siwezi ruka procedures
 
Ni kweli nilimpenda saana...ila haimaanishi siwezi mpoteza, now sina hisia nae kabisa
 
Ndo imani tulizozikuta na kuzikubali wenyewe tutafanyaje sasa
Naona kifo chako siku si nyingii Naona magumu mengi mbeleni fanya uvunje iyo ndoa mahakamani mkeo atakuwa kisu cha kukukatia mwenyewe ni Bora nusu Shari kuliko Shari kamili paleka ilo swala mahakami uvunje iyoo ndoa ama mkoa au wilaya kaa mbali kabisaa uyoo mwanamke
 
Hao wazee wa kanisa hawayajui maandiko?

Mathayo 19:9

Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”

Biblia imetaja uzinifu ni sababu inayoruhusu mwanamke apewe talaka na mumewe.Hao wanaokukataza usimwache wanasoma kitabu gani?

Guys ,Talaka ni rehema kutoka kwa Mungu, bila ya talaka kungekuwa na mauaji mengi sana kwa wanandoa. Mwanaume umeumbwa na wivu, haiwezekani umkute mkeo anabanduliwa live na mwanaume mwingine halafu hao wazee wa kanisa waseme huwezi kumuacha. Unaweza kumsamehe ila huwezi kusahau tukio lake hata kama mtazeeka wote ila kila ukimtazama unauona uchafu aliokufanyia.
 
Swala bado lipo kwenye mchakato... Ntakuja na mrejesho mzuri
 
I we mvua ama jua Kali talaka lazima itoke
 
Kweli na hizi point ntawagonga nazo kabisa
 
Ngoja nkupe kisa changu

Mm nilooqa ndoa ya kanisani kabisa
Tukabahatika kupata mtoto mmoja wa kiume,
Nilichukua mkopo 10m nkafungua duka la nguo,nilikuwa napata faida mingi sana sio chini ya 700k-800k per month
Kisirani ndio kikaanzia hapo kutoka kwa mahawara zake
Halali nyumbni hata siku 3 yupo guest na mtoto wanakulana na Huyo bwana ake

Nilimpiga sana nkavunjaga mpaka na mbavu mbili wap hakusikia,
Nkaenda mpka na kanisani kusuluhishwa week mbili anakaa vizur after that wenge linarudi tena

Nilitaman mpaka kujiuwa,madeni yananiandan na ndani ya nafsi sina amani na mwanamke ndio Malaya balaa

Mpaka wafanyakazi wenzangu walikuwa wanapiga kiroho safi

Nilikuwa napata faraja ya kuishi nkimungalia mwanangu the way utakvyokuwa bila baba

Nkafanya maamuz magumu bila kumshirikisha mtu yeyote hata wazaz wangu sikuwaambia

Nkaachana nae nkaenda kuishi maisha yang mkoa mwingine na mwanangu after 1yrs akajua nlipohamia akaja kumdai tukapelekana mpaka polisi nkalazwa ndani siku 2

Nkaamua kumpa mtoto tu yakaisha

After 2yrs ananipigia simu nikamchukue mtoto nkaenda kumchukua na sasa naishi na mwanangu kiroho safi tu

Nimeowa tena mwanamke mwingine ana adabu na ametulia anajua nn maana ya mume
Nimesha mzalisha watoto wawili na yule wangu jumla 3

Nashukur mungu kunipa ujasiri wa kusonga mbele September deni langu LA 10ml litaisha

Sitaki unipe pole amua maisha yako mwenywe ukiwa bado kijana
 
Hata hivyo ulivumilia sana. Una moyo. Mungu aendelee kuitunza familia yako mpya.
 
Sikupi pole nakupa big up kwa mafanikio...
sema nn vip new wife na step child wake zinaiva?
 
Dini zote zilisha sema ukiwa na uhakika mkeo kaliwa na mwanaume mwingine achana nayeye. Mchungaji sio Mungu acha ujinga. Kunguru hafugiki
 
Sio lazima umrudie na sio lazima uoe tena. Endelea na maisha yako, mwanamke lazima atajichanganya tuu mwenyewe( kuzaa, kuishi na mtu nk)
 
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Mathayo 19:8

Talaka sio rehema,ni wakati moyo ukiwa mgumu na ukishindwa kusamehe. Ndio maana ikawekwa talaka.
 
Actually sikuifikisha huko kutatuliwa bali kuvunjwa sasa naona wamenigeuzia kibao.
 
Kwanza hebu tuthibitishie.wakati unamuoa,ulikurupuka au uliridhika na tabia zake ili na ambao hawajaoa wapate somo hapo.
Cv yake ilinipa ishara mbaya sema aliniahidi amebadilika anataka kuanza upya so na mimi nilinogewa na mgegedo haikua rahisi kuucha akanibebea na mimba juu ikabidi nimuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…